Tatizo unakaa kijijini na wewe ni muongo kabisa. Tuulize sisi watoto wa town hapo kipande ya pasua. Moshi miaka mitano iliyopita ilikuwa kata chache ndio zilikuwa na barabara za lami. Lakini sasa ukienda pasua lami, majengo lami, soweto lami, kcmc, ngangamfumuni, mwereni, kb lami na mpk 2020 Moshi mjini itakuwa hapo katikati ya mji hakutakuwa na barabara ya vumbi hata moja ambapo hata dar posta mpya zipo. Maana mradi wa WB ukiisha zitabaki km kama 2500 tu hazina lami lakini kwa mfuko wa barabara wa manispaa wanajenga km 2 za lami kila mwaka kwa hyo hizo zitajengwa na mfuko wa barabara ambazo ni kipande cha barabara za mission, factory, mitaa ya osterbay. Sasa wewe unayesema moshi haibadiliki sema machame haibadiliki