- Thread starter
- #41
Dogo nin tena huko
Usiniite dogo Hunijui mimi nataka nijue changamoto ili niwekeze mpate ajira kuliko kuuza maparachichi na kupeleka ndizi dar..
Dogo nin tena huko
Nipingane na wewe kidogo!!
Nimeishi maeneo mengi sana ya Tanzania!
Hakuna sehemu yoyote yenye vijiji vilivyoendelea kama Kilimanjaro.
Yani ulitaka ukija moshi usikute migomba badala yake yawe maghorofa hadi huko machame? Badala ya kuoengeza kwamba watu wa moshi wameendelea kuutunza mji wao na mandhari safi wewe unaona hilo ni tatizo, dah kweli maghorofa ya nai yamekuvutia sana.
Pita Nkwamasi,shuka pale Nkwarungo chini kidogo ya hosteli za wanachuo wa chuo cha nkwarungo hosp angalia namna kunavyopendeza,tembea juu kidogo ya lambo, fika hadi Nronga kote huko mandhari safiiiiiii halafu ufananishe na purukshani za huko kwa Kenyata.
Hata hivyo karibu sana moshi
Dogo nin tena huko
Barabara mbovu sana Apa makoa kupitia nkuu Altezza yangu imebidi nipaki mjini tu mawe mashimo yakufikia
my steph curry njoo muone huyu anakuchokoza....
We kichaa unaishi narumu ama kimashuku siyo Machame hii tunayoijua sisi.
Pita lambo,nshara,uduru,urara,kalali,posta,machame hospital, Kkkt nkwarungo, fika nkwamwasi,pandisha mpaka kyalia, nenda foo, nkweseko n.k.
Kisha rudi hapa na analysis inayoeleweka. Hongera kwa kutumbelea mkoa wetu. Huko utokako wazima??
Tatizo jamaa hawauzi ardhi kabsaa na wanapenda kujenga vijijin tuu
Ili swala naliona umu wengi wenu Hamjawekeza Moshi ngoja nisubiri nije nionane na jirani yangu Dr.Mengi tujadili Moshi tunaibadilishaje kuna wakenya wengi wanatamani kuwekeza Moshi ndo sababu kuu ya kuanzisha hii mada..
Mkuu kama ni mkazi wa moshi nieleweshe nini tatizo tuangalia tunatatuaje izi changamoto ili mji huu uweze kukua..
Ili swala naliona umu wengi wenu Hamjawekeza Moshi ngoja nisubiri nije nionane na jirani yangu Dr.Mengi tujadili Moshi tunaibadilishaje kuna wakenya wengi wanatamani kuwekeza Moshi ndo sababu kuu ya kuanzisha hii mada..
Ili swala naliona umu wengi wenu Hamjawekeza Moshi ngoja nisubiri nije nionane na jirani yangu Dr.Mengi tujadili Moshi tunaibadilishaje kuna wakenya wengi wanatamani kuwekeza Moshi ndo sababu kuu ya kuanzisha hii mada..
Asisahau na kupita kuanzia pale Makoa, apandishe Kisereny, Nkuu Sinde, Nkuu Kati mpaka Nkweshoo..
Tatizo wengi walevi tena sana na wa Gongo nilikuwa hapo kuna baadhi ya maeneo pombe hiyo inarusiwa na nguvu kazi wengi wako chakali kila mda,Ulaji wa Kiti Moto pia unachangia kwa kuwadhofisha raia wa hapo Tabia mbaya kuwakeketa wanawake pia inachangia na kikubwa Urithi si kwa watoto wa kike wanaorithi ni wanaume na wengi walevi ...Japo wengine ni wachapa kazi haswa nje ya huo mji,,
Haya ni kweli kweli tupu Mungu wasaidie wabadirike,,