MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,330
Nimetoa ela zangu nyingi sana kuijenga secondary ya Nkuu a.k.a Kimbushi..Mulize Mama Swai Atakuambia kijana mimi ni mtu mzito sana nauchungu na Mji huu sio blaa blaa nataka niache kumbukumbu..Narumu wananijua sana Muulize Lelo Kweka..Mallya nimetuma shingapi kujenga shule zao za kata..
:blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla: