Moshi ipo kama nilivyoiacha

Moshi ipo kama nilivyoiacha

Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo..Nauku Machame pia ndo vilevile jamani .kunanukia ndizi tu.xmass iishe minirudi Nairobi
Ukikua utaacha.Kuishi nairobi mpaka uje utangaze JF utoto tabu sana
 
Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo..Nauku Machame pia ndo vilevile jamani .kunanukia ndizi tu.xmass iishe minirudi Nairobi

Wewe una compare Moshi na mji gani? au ni Moshi Vs Nairo, au Moshi VS dar au Moshi VS Nairobi?
Huna tofauti na mkimbizi bora urudi tu ulikotoka. Wakati umekimbia Moshi ukaenda kuendeleza Nairobi ulim task nani kazi ya kuendeleza Moshi. I hate you!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. fungua masikio na macho nikueleweshe; Moshi ya mwaka juzi siyo ya mwaka huu. Ukimaliza barabara ya kuingia KIA kama unatokea Arusha just angalia mbele kwenye horizon ya macho yako uniambie kama Moshi inakua au haikuwi. Nenda mjini angalia ongezeko la Hotel na vitega uchumi niambie kama Moshi inakua haikui
 
Mkuu kama ni mkazi wa moshi nieleweshe nini tatizo tuangalia tunatatuaje izi changamoto ili mji huu uweze kukua..

Kwenye hayo maeneo uliyoyataja mchango wako ni upi katika kuyaendeleza?
 
my steph curry njoo muone huyu anakuchokoza....
 
Yani ulitaka ukija moshi usikute migomba badala yake yawe maghorofa hadi huko machame? Badala ya kuoengeza kwamba watu wa moshi wameendelea kuutunza mji wao na mandhari safi wewe unaona hilo ni tatizo, dah kweli maghorofa ya nai yamekuvutia sana.
Pita Nkwamasi,shuka pale Nkwarungo chini kidogo ya hosteli za wanachuo wa chuo cha nkwarungo hosp angalia namna kunavyopendeza,tembea juu kidogo ya lambo, fika hadi Nronga kote huko mandhari safiiiiiii halafu ufananishe na purukshani za huko kwa Kenyata.
Hata hivyo karibu sana moshi

Sheikya imuwya te lakana na Kyasaka. Mkataa kwao mtumwa!!!. Kila nikitoka ninakoishi au nikipitia home huku Machame na staff wa kutoka mikoa mingine huwa wanatamani wasiondoke kunavyopendeza kulivyo green na hali ya hewa iliyotulia kwa uoto wa asili. Leo huyu Kyasaka anasema Moshi Haikui? Tumshangai woote
 
Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo..Nauku Machame pia ndo vilevile jamani .kunanukia ndizi tu.xmass iishe minirudi Nairobi

Sasa kama hujakaa kuujenga unafikiri nani atakujengea???
We rudi tu ujenge nyumbani maana ndipo lilipo kaburi lako.
 
Nimeshangaa daladala mwisho saa moja dah imenishangaza marafiki zangu niliokuja nao kutoka kenya wanashangaa sana

Mzee unatoka Nairobi, afu bado unapanda Hiace za Moshi? watu wa wengi wa Moshi wanamagari yao.
 
Nimeshangaa daladala mwisho saa moja dah imenishangaza marafiki zangu niliokuja nao kutoka kenya wanashangaa sana

Kwani hao marafiki zako uliwaeleza daladala mwisho saa ngapi? kila eneo na ratiba zake kinachoshangaza hapo sikioni labda ushamba wako tu!!!
 
Barabara mbovu sana Apa makoa kupitia nkuu Altezza yangu imebidi nipaki mjini tu mawe mashimo yakufikia

Hivi upo moshi ipi maana sikuelewi wewe chizi,Mercedes-Benz pamoja zipo chini huwa zinafanya route mpaka vijijini kuwabeba wanaokodi hizo gari kwenye masheree mbalimbali, sasa alteza ipo chini kiasi gani kuzidi Mercedes-Benz,tatizo siku hizi jf kuna vilaza wamevamia,
 
Unataka uonekane nawe wa moshi ehh?ila pataendeleaje wakati wazawa mnaonekana kwa msimu hasa sikukuu kama hizi tena mnaenda kwajili ya matambiko,hamuwekezi nyumbani,fursa kibao zipo kilimanjaro,unabaki kulialia hapa jf, sijuwi ili uwonekane nawe wa moshi umerudi nyumbani huu ni ujinga.maendeleo ya sehemu yanaanzia kwako binafsi.

Nipingane na wewe kidogo!!
Nimeishi maeneo mengi sana ya Tanzania!
Hakuna sehemu yoyote yenye vijiji vilivyoendelea kama Kilimanjaro.
 
Hivi upo moshi ipi maana sikuelewi wewe chizi,Mercedes-Benz pamoja zipo chini huwa zinafanya route mpaka vijijini kuwabeba wanaokodi hizo gari kwenye masheree mbalimbali, sasa alteza ipo chini kiasi gani kuzidi Mercedes-Benz,tatizo siku hizi jf kuna vilaza wamevamia,

Moshi Hakuna Mall kabisa nimekuja mjini kutafuta mahiyaji ya familia nimeteseka sana hadi wakenya wananishangaa mji ambao mlima mkubwa uko Africa dah nimepata aibu sana
 
Barabara mbovu sana Apa makoa kupitia nkuu Altezza yangu imebidi nipaki mjini tu mawe mashimo yakufikia

Unaenda na altezza moshi? Wenzako wanaendaga na RAV 4,wanaambiwa wameenda na Taxi. Sijui wewe watasema umeenda na fisi
 
hakuna mu Nairobi wala mu alteza apa mboyoyo tu wakigoma tu huyu kanunua smart phone

Hunijui tu ndugu nenda ukaulize mmili wa Machame safari then akuambie mtoto wa dada yake na miliki mali ngapi apo ndo utaniheshimu..
 
Back
Top Bottom