Mji wa Moshi hauwezi kuendelea.ashukuriwe kikwete kujenga hilo jengo hifadhi ya jamii angalau kamji kanaonekana sasa. Kazi yenu kunywa mbege tu. Mkuu machame sehemu gani unaishi?
Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo.Na huku Machame pia ndo vilevile jamani kunanukia ndizi tu.
Xmass iishe minirudi Nairobi.
Nimeshangaa daladala mwisho saa moja dah imenishangaza marafiki zangu niliokuja nao kutoka kenya wanashangaa sana
Wewe ni Mallya wa wapi mkuu?? Yaani kutoa fedha zako zote hizo bado unaenda Machame na Alteza alafu unapiga kelele hapa??
Nipo Hap Mfoni Ukifika Ulizia Kwa Ment nipo Maeneo Ayo karibu sana Unipe story za Apa bwana.
Mji wa Moshi hauwezi kuendelea.ashukuriwe kikwete kujenga hilo jengo hifadhi ya jamii angalau kamji kanaonekana sasa. Kazi yenu kunywa mbege tu. Mkuu machame sehemu gani unaishi?
Mkuu kama ni mkazi wa moshi nieleweshe nini tatizo tuangalia tunatatuaje izi changamoto ili mji huu uweze kukua..
Hii ndio moshi bhana...karibu kyasaka!!
Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo.Na huku Machame pia ndo vilevile jamani kunanukia ndizi tu.
Xmass iishe minirudi Nairobi.
Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo.Na huku Machame pia ndo vilevile jamani kunanukia ndizi tu.
Xmass iishe minirudi Nairobi.
Nimeshangaa daladala mwisho saa moja dah imenishangaza marafiki zangu niliokuja nao kutoka kenya wanashangaa sana
Una alteza daladala za nn sasa meku!
Njia ya Muongo ni fupi sana,
LIE IS FOR A WHILE,TRUTH TILL THE LAST DAY
Halafu mnatoka huko mnaenda rombo, marangu machame lakini mkiulizwa mnasema tunaenda Moshi.