Moon Eclipse: Mkesha wa Full 🌕 Moon na Miujiza Yake, Karibu

Moon Eclipse: Mkesha wa Full 🌕 Moon na Miujiza Yake, Karibu

Ikiwa ni mwezi wa kumi na leo ndiyo kupatwa kwa mwezi mwekundu unaoenda kutimia muda si mrefu.
Inasemekana kuwa ukiwa na ijara yako kwa maisha yako kwa kutumia mwezi hui na nyota yako ikaendana nao basi mafanikio au mikosi inaweza kutoweka.

Mahali mbalimbali leo kuna mikesha na mikusanyiko watu wakitafuta nguvu na wengine kuondoa mikosi au kuhitaji mafanikio.

Wadau na sisi karibuni tikeshe hapa ndani ya masaa haya 72 ya kuoatwa kwa mwezi na full [emoji281] moon hii.
Nipo mby sae, mwez unazibwa na mawing mpka sio powa
 
1698525432231.png

Usilete uchuro hapa
Vitu viko wazi kisayansi mnaanza kupiga ramli....
 
Back
Top Bottom