Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,835
- 50,969
Yule aliyekuwa waziri wa moto mara moja na sasa wa wageni huenda yuko mubasharaMahali mbalimbali leo kuna mikesha na mikusanyiko watu wakitafuta nguvu na wengine kuondoa mikosi au kuhitaji mafanikio.