TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,265
- 25,540
Ikiwa ni mwezi wa kumi na leo ndiyo kupatwa kwa mwezi mwekundu unaoenda kutimia muda si mrefu.
Inasemekana kuwa ukiwa na ijara yako kwa maisha yako kwa kutumia mwezi hui na nyota yako ikaendana nao basi mafanikio au mikosi inaweza kutoweka.
Mahali mbalimbali leo kuna mikesha na mikusanyiko watu wakitafuta nguvu na wengine kuondoa mikosi au kuhitaji mafanikio.
Wadau na sisi karibuni tikeshe hapa ndani ya masaa haya 72 ya kuoatwa kwa mwezi na full 🌕 moon hii.