Moon Eclipse: Mkesha wa Full 🌕 Moon na Miujiza Yake, Karibu

Moon Eclipse: Mkesha wa Full 🌕 Moon na Miujiza Yake, Karibu

Ndefu kidogo, hii ni ya kienyeji kule mababu walipotumia kabla ya wazungu kutuletea dini.

Full moon katika nyota ya Ng'ombe 28/10/2023 kwa Africa Mashariki itakuwa siku ya Jumamos saa 2324 yaan saa tano na dk 24 usiku na kuendelea kwa masaa 72, mwezi ukienda nje kuungalia utakuwa Kama mwezi wa damu wa mwezi huu yaan blood moon.

Mwezi huu umeambatana na lunar eclipse yaan kupatwa kwa mwezi hvo utakuwa na nguvu sana, mwez huu utakuletea mabadiliko makubwa sana ya kimafanikio, utakuondolea majeraha makubwa na maumivu, vizuzi ulivo navyo na watu wenye sumu watatoka maishani mwako.

Full moon hii hakikisha unatoa chochote ambacho hakikunufaish Tena ,Wenye nyota ya Ng'ombe, Nge, Simba na Ndoo watafanikiwa zaid.....



Kwaniaba ya Mkurya mweupe

Aloo kwaio sisi simba awamu hii umoo dewji nje nje[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Aloo kwaio sisi simba awamu hii umoo dewji nje nje[emoji2][emoji2][emoji2]
Wenye hii elimu wanasema hamna matata hawa wasio wa nyota hizi wanaweza kuset mambo yao!.
 
Back
Top Bottom