Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,266
- 19,088
aah umaechelewa mkuu, ulikuwa ukionekana very clear sehemu ya upande wa kulia ilikuwa shaded then ule mwanga wake pia ulikuwa una rangi nyekundu, hii ilikuwa kuanzia saa tano kama na dk 1 hv mpaka sita kasoro, sasa umerejea kwenye shape yake ya asili.Nmetoka kuungalia naona unawaka kote sijaona red
Happy full moon.