Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,453
- 46,231
Wewe fanya hata kama kuna mawingu haunekaniKaliua haupo kabsa kunawingu la mvua tu na manyunyunyu
Wewe fanya hata kama kuna mawingu haunekaniKaliua haupo kabsa kunawingu la mvua tu na manyunyunyu
Hiyo kitu huwa ni tamu inashibisha kama umekula ugali wa mtama🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Togwa imeniponza shoga yangu
Kweli kabisa,hapa nimeshiba ndiii,na full moon ishanipitaðŸ˜Hiyo kitu huwa ni tamu inashibisha kama umekula ugali wa mtama
Jitahidi katika maombi hayo ya full moon Uombe Mungu akupe mke uwe na utulivuBado natafuta!.
Ni mambo ya kinajim kama moon km unaamn kweny mambo hayo full moon ikifik unatok nje ukiwa na kikombe cha maji unakuwa unajineneA mema na kuachilia mabayakatik mwili wako maisha yako huku ukiwa unauangalia huo mwezi ukimaliza hapo unakuwa n karatasi lako jeupe una make a wish Kwa kuandik uyatakayo ktik hiyo karatasi kisha unawasha mshumaa unaichoma hiyo karatasi baada ya hapo unauacha huo mshumaa uwake mpka uzimike wenyw kitaalamu wanaita meditation sijui kitu km hicho yn mambo ni MENG hiyo n Kwa ufupi na naong watu wanaleta milejesh wamefanikiw ingaw mm sijawah krbu Ila unatakiwa uwe msafi WA mwili Hadi roho unatakiwa uachiliee mambo yote hata km ulikuw na ugomvi n MTU unabidii umsamh yn unatakiwa uwe msafi ndy unafany hiyo kitu n uwe n imni pia NB siyo mzur Sana kweny kuandikaGood.
So huwa anawaambia nini kuhusu hiyo kitu?
Aah sawaKuna partially kupatwa kwa Mwezi pia
View attachment 2796262
Poa poaEndeleza mkesha mkuu mimi naingia zamu ila nitakuwa naibia kwa kuchungulia MP akisiinzia [emoji1]!
Nimechelewa kuona ukiwa kama hivi full red nimekuta una uwekundu kwa mbali
Tarehe/mweziMimi nimezaliwa mwezi wa 8 nyota yangu ni ipi?
19/8Tarehe/mwezi
.......... / 8
Kuna kipindi wapambe wake walisema wamegundua nyota yake inaharibiwa na wenzake fulaniKwanini mkuu
Ni mambo ya kinajim kama moon km unaamn kweny mambo hayo full moon ikifik unatok nje ukiwa na kikombe cha maji unakuwa unajineneA mema na kuachilia mabayakatik mwili wako maisha yako huku ukiwa unauangalia huo mwezi ukimaliza hapo unakuwa n karatasi lako jeupe una make a wish Kwa kuandik uyatakayo ktik hiyo karatasi kisha unawasha mshumaa unaichoma hiyo karatasi baada ya hapo unauacha huo mshumaa uwake mpka uzimike wenyw kitaalamu wanaita meditation sijui kitu km hicho yn mambo ni MENG hiyo n Kwa ufupi na naong watu wanaleta milejesh wamefanikiw ingaw mm sijawah krbu Ila unatakiwa uwe msafi WA mwili Hadi roho unatakiwa uachiliee mambo yote hata km ulikuw na ugomvi n MTU unabidii umsamh yn unatakiwa uwe msafi ndy unafany hiyo kitu n uwe n imni pia NB siyo mzur Sana kweny kuandika
😂😂Tatizo ni moja bado sijakuwa na Imani na hiki kitu naona Kam ni uchawiHaya mambo Tifa yapo ni vile dharau, uarabu na uzungu ndivyo vinatufanya kuona hizi kitu ni uchawi.
But before those religion maisha yalikuwa hayo na wala huoni kama kuna kukashifu muumba.
Na pili hizo kanuni zake za kuwa msafi na kuacha mabaya wala siyo nzito same like kama sheria za Mungu au nchi, ni vile sheria za dunia tumezizoea so tunaona sawa tu AU za Mungu tunafanya mabaya naye hawezi kutuadhibu wkt huohuo msiyo maana tunaina sawa tu.
But try this and come again for approval.
Ni kwel hayo yote pia nimeyasikia Hadi kuhusu hiyo chakraHiyo ni kweli if you really want to grow spritualy unaweza kutumia full moon katika kubalance niishati zikae sawa na kuvuna hizo nishati ambazo unaweza kuzitumia kufungua chakra
Mfano kama una tatizo la kuongea pumba au vitu ambavyo havina mantiki na kuandika ilo huwa ni tatizo la kujifunga chakra Kama throat chakra Chakra ya koo
So unaweza kuwa mtu potential kwa kutumia full moon kuvuta hizo nishati