Tetesi: Mojtaba Ali Khamenei kumrithi Ayatollah Ali Khamenei baada ya kuuawa baba

Tetesi: Mojtaba Ali Khamenei kumrithi Ayatollah Ali Khamenei baada ya kuuawa baba

Na yeye ajiandae
20260301_131131.jpg
 
Awahi araka kupiga magoti kwa Netanyahu akiahidi kuleta utawala wa kidemokrasia na kuacha kujihusisha Moja kwa Moja kwenye igaidi na kufadhili vikundi vya kigaidi la sivyo kesho hafiki
 
Hii taarifa sio kweli, mrithi bado hajatangazwa ila nchi bado itaongozwa na watu kama watatu hivi kwa muda.
 
Sidhani kama ni uwendawazimu.

Ipo hivi, Hizo nchi zinapigwa na Iran kwa sabb Iran ame-target military bases za USA zilizopo kwenye nchi hizo.
Hizi military bases za USA zipo karibu na Iran, so zinaweza kutumika kuishambulia Iran kwa karibu zaidi.
Iran kupiga hivyo vituo vya kijeshi vya USA katika hizo nchi, bila shaka ni katika mpango wa Iran wa kujihami na kujilinda.
Kweli kabisa. Marekani hiwa hapigani vita kutokea nyumbani kwake bali ni kutokea kwenye military bases zilizopo kwenye nchi rafiki
 
Kumuweka bwana Mojtaba ni njia ya kulinda siri za familia, utajiri wao na kuhakikisha mfumo wa zamani haubomoki ghafla

Kutunza siri na mali za familia ya nani ???

Mombo, Mafwele Muliro na Nkunda wanakaa kikao kumsimika Abduli lii kulinda siri za familia ya nani?

Wao wana benefit vipi ni siri na mali za familia ????
 
Trump alitaka mabadiliko ya serikali (regime change). CIA yake mwenyewe ilimwambia kuwa kumuua Khamenei kunaweza kufanya mambo kuwa mabaya zaidi. Alifanya hivyo hata hivyo.
Tathmini hiyo ilitengenezwa wiki mbili zilizopita. Ikiwa Khamenei atakufa, makamanda mahiri wa IRGC wana uwezekano mkubwa kuchukua madaraka, wanaume ambao utambulisho wao wote ni wa kijeshi, si wa kitheolojia.

Anafanya kazi kupitia mamlaka ya kidini, ujanja wa kisiasa, na kujizuia kwa makini. IRGC inafanya kazi kupitia bunduki.

Hii ndiyo somo la Iraq ambalo Marekani haijawahi kujifunza. Muue Saddam, upate ISIS. Haribu kilele... na uachilie kitu kibaya zaidi kutoka chini.
CIA haikusema "usifanye". Walisema: usidhani kuua kiongozi kunamaliza utawala. Iran ni mfumo, si inashikiliwa na mtu mmoja.

Kiongozi Mkuu (Supreme Leader) ndiye uso wake. IRGC ndiyo mifupa yake. Trump aliwaambia watu wa Iran usiku huu kuchukua fursa na kuamka.
Lakini ikiwa Khamenei amekufa na IRGC ichukue udhibiti, watu wanaoinuka hawata kabiliana na Ayatollah mzee anayezeeka.
Wanaweza kukabiliana na askari ambao hawana chochote cha kupoteza tena.
Weee!!
 
Kutunza siri na mali za familia ya nani ???

Mombo, Mafwele Muliro na Nkunda wanakaa kikao kumsimika Abduli lii kulinda siri za familia ya nani?

Wao wana benefit vipi ni siri na mali za familia ????
Tuacha mambo hayo, mi nauza matairi Kariakoo karibu sana
 
Sawa tu kama huku watu wanaridhishana kiti cha uraisi kwani wao wakifanya kuna shida ?
 
Back
Top Bottom