WAtakua wanapiga mtungo AKA mandeHuyu pia anafikishwa walipo mabikira, sasa sijui baba na mtoto watagawana vipi mabikira kule...hehehe ila ujuha wa hii dini.
Mimi naona hii vita ni ya kuuwa viongozi tu kisha wanawekwa wengine mambo yanaendelea.Eye in the Sky...
Siku sio nyingi tutasikia msiba mwingine
Dah,View attachment 3550408
Baraza la Mapinduzi la Iran limemtangaza Mojtaba Khamenei (Mtoto wa Ali Khamenei- RIP) kuwa kiongozi mkuu wa Iran.
Ali Khamenei alimlea akimlea na kumwandaa kwa miongo kadhaa mwanawe mwenye roho mbaya, Mojtaba, ili awe kiongozi mkuu ajaye.
Yeye ni mbaya zaidi kuliko baba yake.
Na bado hadi sasa Iran inaendelea kusumbua tu?Kuna Mossad agents zaidi ya 800 ndani ya Iran
Wewe huna tofauti na huyo unaesema mkeo.Yaani huyu vita ikiendela zaidi wanakula kichwa mapema sana
Tatizo kubwa ninalo liona ndani ya Iran na nchi nyingi za Kiarabu/Islam ni kuwa Mossad wamepandikiza moles kila kona.
Hata akiongoza akiwa chini ya mashimo kama panya watamfikia tu labda akubali matakwa ya Israel/USA
NdioKwa akili yako CCM na majambazi mengi yaliyoko huko akiwemo mwigulu uliyekuwa unampigia kelele magu amtumbue ndo wanaipeleka nchi pazuri?
Ameliwa kichwa tayari huyoHuyu pia anafikishwa walipo mabikira, sasa sijui baba na mtoto watagawana vipi mabikira kule...hehehe ila ujuha wa hii dini.
Mojtaba Khamenei ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Tofauti na mtangulizi wake, yeye anajulikana kwa msimamo mkali zaidi na kuungwa mkono na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).Siyo tetesi tena, tayari kisha sainivhati ya kufo chake.
View attachment 3555261