Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 992
What a coincidence, watu watatu wa kwanza kucomment kwenye hii thread wanatumia avator ya bunduki!!!
Wanyamulenge Kazini
What a coincidence, watu watatu wa kwanza kucomment kwenye hii thread wanatumia avator ya bunduki!!!
ni dakta mkuu hawezi kutibu.HIvi sinasikia Rais wetu ni dokta, sasa yabidi akawatibie hao wagonjwa. ili kuonesdha kweli anamaanaisha anachoongea
MOI hawakujua kuwa kurudi jana kazini ilikuwa ni mbinu ya kukatisha mwendelezo wa kutokuwepo kazini kwa zaidi ya siku tatu kinyume cha sheria mwajiriwa anahesabika kuwa amejifukuza kazi. Wanaanza tena leo na wataaendelea na mgomo mpaka wiki ijayo ambapo watarudi tena siku moja au mbili wanagoma tena
Kutokana na Taarifa toka TBC, wananchi tunatambua kuwa Muhimbili ni kituo cha afya ru. Hospitali ya RUFAA kwa hivisasa ni LUGALO. Kwahiyo ni vigumu sana kwa serikali kustuka hivi sasa, maana imeshatupatia mbadala wa uhakika.[/QUOTE
Hivi kwa akili yako kinachoipa sifa ya hospital kuwa ya rufaa ni majengo au wataalam waliopo?
Acheni upotoshaji,
Hakuna mgomo wa madaktari.
Mkwara kwa kitoooooooto kwa Amiri jeshi mkuu!
Watu wamekasirika kusikia mgomo umemalizika.
Hahahahaha, mnataka umaarufu wa kisiasa kwa kutumia roho za masikini wa watu?
Shame
Good.
Kama ni hivyo kwanini basi madai yao yasitekelezwe ili matatizo yaishe.
watendelea kugoma indefinitely.
Beware, mtaingia kwenye mgomo huu soon ninyi mnaopinga,
Kwani ugomvi mkuu, we si uende ukatibiwe nao hao uliowataja kama wako kazini!!SIDHANI SPECIALISTS KAMA DR. ANTHONY, PROF. MUSERU, PROF. KAHAMBA, DR. NUNGU NK. NK. AMBAO WAKO VERY SMART WANAWEZA KUFANYA UPUUZI KAMA HUU!
THIS IS NON SENSE AND VERY STUPID! I THINK MLETA MADA ANA AGENDA YAKE YA SIRI!
Mkwara kwa kitoooooooto kwa Amiri jeshi mkuu!
Watu wamekasirika kusikia mgomo umemalizika.
Hahahahaha, mnataka umaarufu wa kisiasa kwa kutumia roho za masikini wa watu?
Shame
Safari hii Liwalo na Liwe, Dhaifu sijui watasema nini?
Madokta kutoka Iran haiwezekani tena, washalikororoga na bendera zao.
Mapambano ndo yanaanza Lugalo 80% yao ni MA na AMO
Sasa hapa tukisema wabunge wa WASHWA WASHWA na chama chao kinatetea migomo km ilivyo andikwa kwenye hotuba yenu mtakataa? Washwa washwa bana , mna matatizo makubwa
Kugoma ni haki ya kila mtanzania, Chama hakitetei mgmo ila kinatetea haki za watu. Kwanza inakuwaje mpaka watu wanaingia kwenye migomo? Kama hawa watu hawakuwa na haki mbona serikali ilianzisha mazungumzo nao?
Kugoma ni haki ya kila mtanzania, Chama hakitetei mgmo ila kinatetea haki za watu. Kwanza inakuwaje mpaka watu wanaingia kwenye migomo? Kama hawa watu hawakuwa na haki mbona serikali ilianzisha mazungumzo nao?
Si ndio maana wamemuachia Muhimbili yake hawana shida na mshahara wake akawaleta hao wa Iran waliomhonga suti watibu wananchiMbona povu linakutoka mpaka linamwagika nje ? Mkuu wa nchi aliisha sema kama wanataka mishahara mikubwa na minono si waache kazi waende huko kwenye mishahara minono? shida iko wapi wakati Mh. Rais ameishatoa msimamo wa serikali yake kuwa huwa wanacho taka kulipwa hakiwezekani hata mbingu ishuke. Washauri tu hao vibaraka wenu waache kazi
Unafikiri kusomea udaktari bingwa mchezo? geshi lenyewe tu si la kisasa ni la kizamani la kutumia maguvu je huo udaktari watauweza? msitake kudharau taaluma za watu acheni madaktari wadai haki zao bwana wanastahili. Bila kugoma huwezi kusikilizwa
Waliohamasisha mgomo kwa manufaa ya kisiasa, wameaibika. Haya nendeni mkawashawishi wanajeshi LUGALO kugoma!!