MOI Wajiunga Tena na MGOMO

Mbona post za watu wengi zinaunga mkono madaktari kuendelea kuua wagonjwa kwa faida yao wenyewe? Inakela sana, kwa mfano huyu jamaa, sijui anafurahia sana wagonjwa kufa ili hali madokta wakiwa wamepumzika manyumbani kwao.
Msiwaogope wauao mwili wasiweze kuiua na roho, afadhali mwogopeni yeye awezaye kuua vyote, mwili na roho katika jehanamu.

Mkuu wangu kwenye red hapo,

Eng. stella amesema CHADEMA ndio wapo nyuma ya mgomo wa madaktari, kwa hiyo usishangae kuona pro-CDM wamehuzunishwa na mgomo kusitishwa!
 
Nafikiri hamjaielewa serikali, wanaposema hakunamgomo ni kule hospitali mpya ya rufaa LUGALO. Kama mlikuwa hamjui maana ya kutelekezwa ndiyo tujifunze vizuri sasa.
 
Nadhani this time Kikwete ndo atatafuta mwajiri mwingine na si madaktari.

Wanoshabikia hii migomo akili zao hamna kitu kabisa. Na kama MOI wameanza mgomo eti hali ya afya ya Dr. Ulimboka imebadilika basi ni WAJINGA SANA! Unafanya kazi kwa manufaa ya taifa lako na familia yako au kwa ajili ya Dr. Ulimboka?

JE AKIFA WTAFANYA NINI? WATAACHA KAZI? HUU NI UJINGA SANA KAMA NDIVYO ILIVYO.

SIDHANI SPECIALISTS KAMA DR. ANTHONY, PROF. MUSERU, PROF. KAHAMBA, DR. NUNGU NK. NK. AMBAO WAKO VERY SMART WANAWEZA KUFANYA UPUUZI KAMA HUU!

THIS IS NON SENSE AND VERY STUPID! I THINK MLETA MADA ANA AGENDA YAKE YA SIRI!
 
Wanoshabikia hii migomo akili zao hamna kitu kabisa. Na kama MOI wameanza mgomo eti hali ya afya ya Dr. Ulimboka imebadilika basi ni AJINGA SANA! Unafanya kazi kwa mafufaa ya taifa lako na familia yako au kwa ajili ya Dr. Ulimboka? JE AKIFA WTAFANYA NINI? WATAACHA KAZI? HUU NI UJINGA SANA KAMA NDIVYO ILIVYO. SIDHANI SPECIALISTS KAMA DR. ANTHONY, PROF. MUSERU, PROF. KAHAMBA, DR. NUNGU NK. NK. AMBAO WAKO VERY SMART WANAWEZA KUFANYA UPUUZI KAMA HUU!
THIS IS NON SENSE AND VERY STUPID! I THINK MLETA MADA ANA AGENDA YAKE YA SIRI!
Sababu ipo.
serkali inajua.
hata we unazijua.
Denial or submission ni juu yako.
Ukweli ni kuwa Mgomo upo.
 
MOI hawakujua kuwa kurudi jana kazini ilikuwa ni mbinu ya kukatisha mwendelezo wa kutokuwepo kazini kwa zaidi ya siku tatu kinyume cha sheria mwajiriwa anahesabika kuwa amejifukuza kazi. Wanaanza tena leo na wataaendelea na mgomo mpaka wiki ijayo ambapo watarudi tena siku moja au mbili wanagoma tena
 
Mbona post za watu wengi zinaunga mkono madaktari kuendelea kuua wagonjwa kwa faida yao wenyewe? Inakela sana, kwa mfano huyu jamaa, sijui anafurahia sana wagonjwa kufa ili hali madokta wakiwa wamepumzika manyumbani kwao.
Msiwaogope wauao mwili wasiweze kuiua na roho, afadhali mwogopeni yeye awezaye kuua vyote, mwili na roho katika jehanamu.

Well said! hawa wanaofurahia hii migomo wanamatatizo akilini mwao!
 
MOI hawakujua kuwa kurudi jana kazini ilikuwa ni mbinu ya kukatisha mwendelezo wa kutokuwepo kazini kwa zaidi ya siku tatu kinyume cha sheria mwajiriwa anahesabika kuwa amejifukuza kazi. Wanaanza tena leo na wataaendelea na mgomo mpaka wiki ijayo ambapo watarudi tena siku moja au mbili wanagoma tena
Maybe.
lakini mgomo upo kweli, nimeongea na relation officer wa MOI kaconfirm.
JK tekeleza madai ya madokta.
Ubabe utakugharimu.
Umeshakugharimu before and this time you better dont blink, you are perishing.
 
yaani mpaka wapishi wa ikulu nao wagome ndo JK atajua hapendwi..ndo shida ya kuingia madarakani kwa ndumba..antivirus ukichelewa ku update yaani masoo yanakuandama kama nini....
 
MOI hawakujua kuwa kurudi jana kazini ilikuwa ni mbinu ya kukatisha mwendelezo wa kutokuwepo kazini kwa zaidi ya siku tatu kinyume cha sheria mwajiriwa anahesabika kuwa amejifukuza kazi. Wanaanza tena leo na wataaendelea na mgomo mpaka wiki ijayo ambapo watarudi tena siku moja au mbili wanagoma tena

Watakuwa wapumbavu sana, na kama ndo hivyo basi elimu yao haiwajasaidi na pia inabidi watimuliwe!
 
kipanya_29_-_06_-_2012_20120629_1614433847.jpg
 
Well said! hawa wanaofurahia hii migomo wanamatatizo akilini mwao!
Good.
Kama ni hivyo kwanini basi madai yao yasitekelezwe ili matatizo yaishe.
watendelea kugoma indefinitely.
Beware, mtaingia kwenye mgomo huu soon ninyi mnaopinga,
 
HIvi sinasikia Rais wetu ni dokta, sasa yabidi akawatibie hao wagonjwa. ili kuonesdha kweli anamaanaisha anachoongea
 
yaani mpaka wapishi wa ikulu nao wagome ndo JK atajua hapendwi..ndo shida ya kuingia madarakani kwa ndumba..antivirus ukichelewa ku update yaani masoo yanakuandama kama nini....
Kwani ana nongwa JK si atenda kwa ma ntilie!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom