Countdown......... punde utagoma kwa niabaPeleka mawazo ya ndumu na viroba huko.WAGOME wananchi ili iweje na wagome nini usitufanye na sisi mapoyoyo kama nyie CDM
Liwalo na Liwe!!!Sikushangai kwa maneno yako kwani hata Avatar yako inadhihirisha hilo. Dah, unapenda migomo!
Mkuu, hawa wanaoshadadia migomo akili zao sifuri. Kwanza kwa taarifa, waliokuwa wanaongoza migomo ukimuondoa Dr. Ulimbpka walikuwa ni INTERNS ambao wameishatimuliwa, mm bado nasisitiza mleta mada ana agenda yake ya siri. Interns waliotimuliwa wameanza kulia lia tu, leo walikuwa Mihimbili na Wizarani. Wameambia waandike barua kwa nini walijiingiza kwenye migomo!
Narudia tena, wanaoshadadia migomo akili zao sifuri tu!
inakusaidia nini kukaa na utu uzima wako ukaanza kutuandikia uongo humu? haya mambo sio ya utani fisi wewe, mtu anaweza akakuamini akamtoa mgonjwa wake kutoka mbagala mpaka moi usiku wa manane akafika MOI akakuta hakuna kazi, na mgonjwa wake akamfia! bora umuache na ukweli ili at least ajipange angalau kumpeleka private moja kwa moja! SIO VIZURI KUPOTOSHANA WENYEWE KWA WENYEWE! UKOMEEEEEE!!!Acheni upotoshaji,
Hakuna mgomo wa madaktari.
masaburi yanakusumbua nyau wewe.
Watanzania siasa zinatudanganya. Hivi kwa mawazo yako, kama kuna ajali imetokea hospitalini, daktari na mgonjwa asiye daktari, unadhani jitihada za uokozi zitaelekezwa wapi? Jeshini wakati wa vita tunasema ni aheri kupoteza askari 1000 kuliko kumpoteza brigade commander mmoja, na ni aheri kupoteza raia 100 kuliko kupoteza askari mmoja. Hapa thamani ya binadamu inapimwa katika uwezo wa kupigana na kupiganisha. Na katika tiba, thamani ya ubinadamu hupimwa katika uwezo wa uokoaji wa maisha. Katika uhalisia, ni aheri kupoteza wagonjwa 100 kuliko daktari mmoja. Kuokoa maisha ya daktari mmoja ni kuokoa maisha ya raia wengine zaidi ya 1000, lakini kuokoa maisha ya mgonjwa mmoja ni kuokoa maisha ya mtu mmoja.Kwani afya ya Ulimboka ni muhimu sana kuliko afya za wagonjwa walioko hapo muhimbili?
well putWatanzania siasa zinatudanganya. Hivi kwa mawazo yako, kama kuna ajali imetokea hospitalini, daktari na mgonjwa asiye daktari, unadhani jitihada za uokozi zitaelekezwa wapi? Jeshini wakati wa vita tunasema ni aheri kupoteza askari 1000 kuliko kumpoteza brigade commander mmoja, na ni aheri kupoteza raia 100 kuliko kupoteza askari mmoja. Hapa thamani ya binadamu inapimwa katika uwezo wa kupigana na kupiganisha. Na katika tiba, thamani ya ubinadamu hupimwa katika uwezo wa uokoaji wa maisha. Katika uhalisia, ni aheri kupoteza wagonjwa 100 kuliko daktari mmoja. Kuokoa maisha ya daktari mmoja ni kuokoa maisha ya raia wengine zaidi ya 1000, lakini kuokoa maisha ya mgonjwa mmoja ni kuokoa maisha ya mtu mmoja.
Kwani afya ya Ulimboka ni muhimu sana kuliko afya za wagonjwa walioko hapo muhimbili?