MOI Wajiunga Tena na MGOMO

7.7 m kwa alietoka direct from school, je mwenye miaka 30 ya uzoefu analipwa shilingi ngapi?

Tafakari chukua hatua

say no to boycott, say no to mob psychology

say yes to humanity, say yes to logical thinking
Upungufu wa vitanda vya kulala hospitali ya Mwananyamala 7 Oktoba 2008.JPG
trip-photos-052.jpg
unapotoa michango shilikisha ubongo wako na siyo hayo makamasi yako....madai ya madaktari yako 12 kwanini mmeshikila la mshahara, vipi vitenea kazi kama CT Scan na wangonjwa kulazwa chini...na kama tatizo ni mshahara kwani Ngonyani yule la saba anapata kiasi gani kwa mwaka.....
 
hospital.jpg
hakika kama watanzania wangejua shida wanazo zipata wake zetu, mama zetu, dada zet wanapoenda hospital nina uakika tungekuwa barabara kuwa unga mkono madaktari na kuacha porojo za ******* wa ccm za kujifanya hawaoni matatizo ya watanzania na kutumia bil 27 kusherekea miaka 50 ya upumbavu wa CCM......
 
Ma - doctors wote wanamwonea mwenzao Dr. Ulimboka huruma - wengi walilia sana kuhusu kitendo alichofanyiwa cha unyama - hivyo tuombe tu apone - otherwise .................. mh! sijui itakuwaje

Hali yake ikibadilika na kuwa mbaya - of course nani atakuwa na moyo wa kufanya kazi?? Achilia mbali ma-doctors - sisi wananchi wengine tusiopenda DHULUMA .. TUTAANDAMANA na hata hivyo WANANCHI TUMECHELEWA SANA KUFANYA MAANDAMAO YA KULAANI ALICHOFANYIWA - TENA NA SERIKALI YENYEWE.................

Maswali ya SIASA ndio wamtese msomi wetu, ndugu yetu, rafiki yetu, Mtanzania mwenzetu Dr. Ulimboka????? ama kweli moyo wa mtu umejificha ..........unaona mtu anacheka cheka kumbe ndani ni MNYAMA - MBWA MWITU MKALI - WATANZANIA TUWENI MACHO na KUMWOMBA MUNGU SANA ATULINDE NA WANYAMA WABAYA.... YAANI WANADAMU WENYE ROHO MBAYA....... kama ma-devil worshippers!!!!:shetani:
 
wewe umesoma na Mwigulu nchemba, nimeambiwa alikuwa anadesa kwako, naamini kwa jinsi mnavyofanana iq.
nadhani pia walikuwa na livingstone lusinde ila wakamwacha LY
 
Manyi
Mkuu hebu kunywa maji utulize munkali,unapiga makelele kutuandikia na herufi kubwa,hizo hasira zako wapelekee Serikali walioshindwa kutatua swala hili.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani sio kujiunga tena na mgomo, la hasha mgomo bado unaendele na hukuwai kwisha toka umeanza!!!! na kwa sasa Lugalo imepewa hadhi ya hospitali ya rufaa....haaaa!!! kuokoa jahazi....!!!!
DISPENSARI YA rufaa to be exact
 
It's not who you are that holds you back, it's who you think you're not. ~Attributed to Hanoch McCarty
 
7.7 m kwa alietoka direct from school, je mwenye miaka 30 ya uzoefu analipwa shilingi ngapi?

Tafakari chukua hatua

say no to boycott, say no to mob psychology

say yes to humanity, say yes to logical thinking

Mkuu, hawa wanaoshadadia migomo akili zao sifuri. Kwanza kwa taarifa, waliokuwa wanaongoza migomo ukimuondoa Dr. Ulimbpka walikuwa ni INTERNS ambao wameishatimuliwa, mm bado nasisitiza mleta mada ana agenda yake ya siri. Interns waliotimuliwa wameanza kulia lia tu, leo walikuwa Mihimbili na Wizarani. Wameambia waandike barua kwa nini walijiingiza kwenye migomo!
Narudia tena, wanaoshadadia migomo akili zao sifuri tu!
 
Hakuna tena kiongoz wa kuhamsisha mgomo unless uwe na hamu ya kuliwa ndogo msituni!
 
Kwani afya ya Ulimboka ni muhimu sana kuliko afya za wagonjwa walioko hapo muhimbili?
Afya ya binadamu yoyote ni muhimu na katika binadamu hakuna aliye wa zaidi kuliko mwenzake na ndiyo maana wote hufa na baada yahapo kwenda kwa Mungu ama motoni kwa tunavyo amini na ndivyo ilivyo,ila Zaidi Ulimboka ni Kiongozi wa MAT na ni dokta mwenzao hawakufurahishwa na kilicho mkumba na mazingina yalivyokuwa.
 
Msimamo mbona JK aliisha utoa kwenye hotuba yake ? alisema hawana haja yakugoma na kumsumbua mwajiri kuwaandikia barua nk, wao waache kazi waende kwenye maslahi bora wayatakayo, shida iko wapi ? na kwa nn usiwashauri wafuate ushauri wa Rais wakuacha kazi?

Shida ni Serikali kushinda ikiwafuatilia nani kaingia ofisini nani hajafika.

Nilitaraji kama watendaji makini na serikali sikivu baada ya tamko lile kesho yake Madaktari wapya wange sambazwa hospitali zote kuchukua nafasi zilizo wazi ili hao walio katika mgomo wakute nafasi zao hazipo!

Nachokiona mimi ni vitisho zaidi kwa ma Daktari ili waende kutoa huduma jambo ambalo na chelea kusema huduma haewezi kutolewa na daktari aliye chini ya shinikizo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom