Endelea kuifariji, hakuna mgomo, madr wote waliobaki ni waajiriwa wa serikali, au kwa lugha nyepesi wapo under control ya serikali sikivu. Kirusi kilikuwa ULIMBOKA(Hiler wa Tanzania) ambaye hakuwa mwajiri wa serikali. Kukiondoa tu kumerudisha amani TZ.thibitisha
Hitler ni Jakaya Mrisho Kikwete a dictator president, brutal and a disguise to our nation, he will pay his deeds before his term endsEndelea kuifariji, hakuna mgomo, madr wote waliobaki ni waajiriwa wa serikali, au kwa lugha nyepesi wapo under control ya serikali sikivu. Kirusi kilikuwa ULIMBOKA(Hiler wa Tanzania) ambaye hakuwa mwajiri wa serikali. Kukiondoa tu kumerudisha amani TZ.
Hizo ndo news mkuu,Hawo MOI wasichezee akili zetu jana kuna watu walitwambia walistage lile tukio wengine wakasema haijatokea thetre mgonjwa mmoja awe attended na wafanyakazi zaidi ya sita kwa udhoefu kuna kuwa na daktari,anaethetist,scrubing nurse labda na msaidizi wa daktari lakini stretcher ya mgonjwa inazungukwa na watu kumi ilitia mashaka kidogo
waamuwe moja kugeuka nyuma na kuwa chumvi au kusimama na kuwa kitu kimoja
Hitler ni Jakaya Mrisho Kikwete a dictator president, brutal and a disguise to our nation, he will pay his deeds before his term ends
Acheni upotoshaji,
Hakuna mgomo wa madaktari.
Sasa kwanini wanahaha na mgomo hadi kufikia hatua ya kutoa agizo la kuuliwa Ulimboka?Kutokana na Taarifa toka TBC, wananchi tunatambua kuwa Muhimbili ni kituo cha afya ru. Hospitali ya RUFAA kwa hivisasa ni LUGALO. Kwahiyo ni vigumu sana kwa serikali kustuka hivi sasa, maana imeshatupatia mbadala wa uhakika.
Uko sahihi kabisa mkuu. Ila mimi niliamua kutumia tamathali ya semi ambayo kwa kiingereza inaitwa irony. Hii ina maana unaongea kitu kimoja lakini ukimaanisha kinyume chake. Mfano ni kama mama anapomtuma mtoto mahali na kumwambia, "Halafu uchelewe kurudi." Kile anachomaanisha mama kwa mtoto ni kwamba urudi mapema. Hivyo na mimi maana yangu hasa ni Gamba mnafiki. Tupo pamoja mkuu.Kuwa mwaminifu halafu unapeleka taarifa za uwongo kuwa hakuna mgomo unakolifai kuwa "gamba mnafiki"
Mpotoshaji wewe au aliyeanznisha uzi huuu, Ofkoz hata aliyeanzisha uzi huu hajaweka vizuri statement zake mie nimekuwapo Muhimbili na MOI leo
Mosi,watu hawajaanzza kuafanya kazi jana kuna baadhi ya drs waalilazimishwa kuact ili zipatikane picha za kuweka kwenye TV
Pili,Kwa wenye kufikiri lakini inakuwaje mgomo atangaze mwingine(madaktari) halafu msitishaji awe mwingine(Bodi ya Hospitali). Kuanzia Jumatatu ni full comedy ili mradi tu SINA HELA aka KUBWA LA MAJAMBAZI aka DHAIFU aonekane ameheshimika kwa kauli
kwa mtindo huu KIKOSI CHA MAJAMBAZI( aka SIRI KAAALI) mtaua madr wengi sana tu kwani kama ambavyo manaendela kuwawinda sasa usiku na mchana ila damu zao hazitapotea bure jueni hili wekeni akilini mwenu
Endelea kuifariji, hakuna mgomo, madr wote waliobaki ni waajiriwa wa serikali, au kwa lugha nyepesi wapo under control ya serikali sikivu. Kirusi kilikuwa ULIMBOKA(Hiler wa Tanzania) ambaye hakuwa mwajiri wa serikali. Kukiondoa tu kumerudisha amani TZ.
DHAIFUSerikali dhaifu ya JK ndiyo imetufikisha hapa.
Aluta continua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!