ndio inanihusu mmezidi kutwa "vi'thread visivyo na kichwa miguu" sasa bora mkaombana urafiki facebook.. Ni maoni tu mpendwa charmingladyMkuu please leave us alone... Tuache na uhovyohovyo wetu inakahuuuuuu!!!!!!!
Chitchat si pahala salama kwa sasa. Tukutane siasani.
Thanks mods kwa kumpeleka huyu BAN GUEST HOUSE
ndio inanihusu mmezidi kutwa "vi'thread visivyo na kichwa miguu" sasa bora mkaombana urafiki facebook.. Ni maoni tu mpendwa charminglady
Chit chat pumba nyingi
yani toka watu waanze kutuletea fujo wengine hata kusalimiana tunshindwa maana imekuwa ni fujo mtindo mmoja.......nakusabahi swahiba hata katikati ya hii kadhia
Kwa niaba ya wana Chitchat wote nawaomba Moderators wote watusafishie jukwaa letu pendwa kwani limevamiwa na Mamluki....
Hapo awali kabla ya mamluki hao tulienjoy sana jukwaa hili bila BAN zisizo na msingi, lakini sasa tunaingia jukwaa hili kwa wasiwasi wa kupigwa BAN za kusababishiwa...
Nahisi lengo la jukwaa hili lilikuwa zuri tu na ndio sababu likaanzishwa, kama lingekuwa jukwaa la Kipuuzi, kitoto, n.k (kama wasemavyo mamluki hao) Bila shaka lingefulitiwa mbali...
Kwa nini tukose raha katika jukwaa hili??????? Wanaoliona jukwaa la Chitchat haliwafai kwanini wanaingia huku???? Tunawasihi sana kwa Amani na Upendo waendelee kutembelea majukwaa mengine watuwachie jukwaa letu....
Si lazima kutembelea jukwaa hili as kuna majukwaa zaidi ya 50 yenye maana kuliko hili????? Tunakosa raha ya kuwa katika jukwaa hili kwa amani kisa MAMLUKI...
Nakala kwa wana Chitchat woooote!!!!
N.B. Mods msipeleke thread hii kwenye jukwaa la malalamishi ili kila mwanaCC asome na kutoa maoni yake.
Nawasilisha
This is jobless corner

Leo mods wamelaza Watu wengi sana kule BAN GUEST HOUSE
nililala usingizi wa pono