Mods tunaomba hadhi ya Chit Chat forum irudishwe!!

Status
Not open for further replies.

Mkuu unajua kwanini Buchanan anazurura huku? lazima atakuwa kapokea rushwa kwenye lile jukwaa letu afu akatoa wrong judgement sasa anatafutwa kwa kitu chenye ncha kali........ amekuja huku kujificha hahahahaaaaaa................... aisee msije mkanipeleka selo na huku dah!
 
Mungi sasa inabidi tuwe member wa lile jukwaaa la kujiachia maana huku kushaota nyasi
Nimeanzisha uzi jana duh ghafla ukafungwa aise naogopa sana kupata ban aise kwenye chit chat
 
Last edited by a moderator:
Mungi sasa inabidi tuwe member wa lile jukwaaa la kujiachia maana huku kushaota nyasi
Nimeanzisha uzi jana duh ghafla ukafungwa aise naogopa sana kupata ban aise kwenye chit chat

Jukwaa gani mkuu ambalo akina Buchanan na Paw hawawezi kufika.................. niambie pole pole twende kule maana huku si unaona jamaa yupo nyuma ya sofa hahaaa :behindsofa:
 
Last edited by a moderator:
Lile jukwaa la wakubwa Mungi unakaa kule unaangalia mapicha na kuongea lolote bila wasi wasi
Ila nako siku hizi nasikia akina Paw na Buchanan wapo wanapiga chabo
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…