Matumizi ya Computer na hizi rendering softwares na njaa yameua kabisa creativity na kujifunza design principles and fundamentals kwa wabunifu wa kizazi hiki.
R. I. P BJ Amuli, Sumar Varma, Antony Almeida

Mkuu computer haijaua creativity sababu hizo rendering na michoro unayoona mtu hafanyi kutokea moja kwa moja kwenye computer, bali anaanza na kuconceptualize kwenye karatasi kwa mkono
Kuna kipindi nilionaga Kuna ugomvi humu wa dislike nikawa sielewi. Hivi vidude kwenye app hakuna vilikuwepo kwa wanaotumia browser, Ila walipoiunga app na browser sasa hivi vinatokea