"Store" badala ya "storey" hiyo inaweza kuwa ni typing error
Ila ghorofa kuita single storey house, hiyo sio typing error. Kubali uliporekebishwa hapo na uwe makini, maana inazua maswali mtaalamu anashindwa vipi kujua single storey house ni nini

Hakuna typing error hapo hiyo kazi imeingilia na watu ambao hawajaenda shule mtu anadownload arch-CAD anapractice anajikuta tayari ni architecture. Hivi mtu umesoma miaka mitano unakoseaje kizembe hivyo? Sheria kuu kwenye usanifu illustrations zote kwenye hutakiwi kukosea kwa sababu inaweza kuleta majanga.
Mfano ni watu wa graphics designing hii kazi imevamiwa na watu ambao hawajaenda shule pia maboko ya hovyo kwenye matangazo ya biashara za watu mtu badala ya kuandika t-shirt anaandika "t-shert" Sasa hiyo ni typing error au ignorance?

Nakubaliana na ww kwenye hili, Architect hawezi kufanya kosa alilofanya huyu la kuita ghorofa ni single storey house
Ni sawa na daktati aseme muhimbili ni zahanati