Mnyika's refusal of talking about his private life dissapoints Clouds FM

Mnyika's refusal of talking about his private life dissapoints Clouds FM

Hivi ukijua Mnyika ana girlfriend au la ina ongeza nini kwenye maendeleo ya jimbo la ubungo? kwanini asiulizwe masuala muhimu yanayogusa maslahi mapana ya wananchi wa Ubungo na Tanzania kwa ujumla? Vipindi vingi vya CLOUDS Radio ni mapenzi na umbea tu..huu ni ujinga na ushenzi..tena mwambieni huyu DIVA sijui masuala ya mapenzi wapo watu wanafanya hayo aende usiku pale SINZA MORI kuna madada poa awaulize..shenzi sana.
haka kabinti kanaboo sana.....
 
a. Jibu lako la kwanza lilitakiwa kuwa "Nimeambiwa mahojiano yetu yanahusiana na kesi yangu na mambo ya siasa na nimeshamwambia producer mambo yangu binafsi yako pembeni na ndiyo sababu nimekubaliana kuja hapa; sasa kuniuliza kitu kile kile ambacho tayari tumeclear sina sababu ya kujibu. Kama mnataka kuzungumzia mambo ya mapenzi nasikitika kwa kweli kkuna mambo muhimu zaidi kwa taifa kuliko kujua kama nina mpenzi au la"!


b. La pili ni kweli naamini usingeenda kwenye hicho kipindi kwa sababu kinajulikkana kinazungumzia mambo gani; lilikuwa kosa kwenda na kutarajia kuzungumza mambo ya siasa wakati ni kipindi cha mambo ya mapenzi.
Mzee hujamwelewa kabisa John Mnyika!! Very sorry msome tena!
 
Basi ajifunze kufanya utafiti wake kwanza kabla hajakubali kufanya maongezi na watangazaji wa vituo vya redio.
haina kweeeere arifu.....
naona leo unapiga box la ultmate security..
 
Hakujua? Ina maana anaishi chini ya mwamba?
Unataka kutuaminisha kipindi cha Diva ni maarufu kiasi hicho? Unajua usikilizaji wa radio umebadilika sana na watu wengi hawajui vipindi vya usiku kama zamani? Mabadiliko ya teknolojia yamechangia.Siku hizi mtangazaji kufanya watu wengi wamfatilie kwenye vipindi vya usiku inataka kipaji haswa! Diva anafatiliwa na watoto tu! Hata wewe najua huwezi kupoteza muda kumsikiliza mtu anayeongea lafudhi ya kihuni inayofaa XXL kwenye mabongo fleva na akina Diamond!!
 
it was like this, una GF?

Simple answe: haya ni maisha binafsi na sio ya uma. Maisha yangu, kaka, dada na mke au kama hivo ni yangu sio ya uma.

Clouds FM inakata simu,

Poa tu kata.

Diva mpuuzi na ni mtoto. Kama angekuwa mahiri angejitahidi kumshawishi, JJ angekataa, Diva angemtaka radhi na kuomba wazungumze siku nyingine.
 
Leo ni payday arif....nataka niende nikachukue pamba za ukweli.
dc-shoes-gatsby-limited-sneakers-1.jpg

nakutumia mkwanja western union unichukulie haya makitu.....
 
Unataka kutuaminisha kipindi cha Diva ni maarufu kiasi hicho? Unajua usikilizaji wa radio umebadilika sana na watu wengi hawajui vipindi vya usiku kama zamani? Mabadiliko ya teknolojia yamechangia.Siku hizi mtangazaji kufanya watu wengi wamfatilie kwenye vipindi vya usiku inataka kipaji haswa! Diva anafatiliwa na watoto tu! Hata wewe najua huwezi kupoteza muda kumsikiliza mtu anayeongea lafudhi ya kihuni inayofaa XXL kwenye mabongo fleva na akina Diamond!!

Ndiyo maana ni busara kufanya utafiti wako pia kabla hujakubali kushiriki kwenye kipindi chochote kile cha redio au runinga.
 
Watu wametukana kishenzi kwenye FB account yake. Hii issue itampotezea mashabiki sana.

Kwenu watoto wa FB ni sawa, lakini kwetu watu wa JF no !
Si wajua FB members wengi ni wanafunzi wa sekondari ambao sehemu kubwa ya mazungumzo yenu ni mapenzi tu?
FB akaunti yangu nina zaidi ya miezi sita sijaifungua.
Hata hivyo tusilaumiane kwa hilo.
 
Hiko kipindi ni cha mapenzi mwanao mwisho. Sasa ulitaka waanze kumuuliza juu ya vikao vya bunge?

Huyo diva ndo nani? Me hata kipindi sikijui! Halafu hata kama kipindi ni cha mapenzi una uhakika kama JM anakijua? Tatizo inawezekana alimshitukiza tu mnyika akiwa amelala zake.
 
Huyo diva ndo nani? Me hata kipindi sikijui! Halafu hata kama kipindi ni cha mapenzi una uhakika kama JM anakijua? Tatizo inawezekana alimshitukiza tu mnyika akiwa amelala zake.

Kweli kazi ipo!

Nyoka lazima apigwe mwaka huu
 
When people can’t debate the facts, they avoid the issues and resort to personal attacks!!![/QUOTE]

and thats exactly what your self appointed ''diva'' chose to do, apparently she is so deeply self absorbed in her own world view that she Ignorantly expects every one of her radio guests to respond to her questions in accordance to her own playbook, She should have had a positive plan ''B'' in place, just in case her guest deviated from expected response. of course that could have been possible if she had any sence of intellect as most of us would expect of her, But you know she is From Radio Clouds and Can anybody expect anything better from such a radio!!!!!!!!!!!
 
When people can't debate the facts, they avoid the issues and resort to personal attacks!!![/QUOTE]

and thats exactly what your self appointed ''diva'' chose to do, apparently she is so deeply self absorbed in her own world view that she Ignorantly expects every one of her radio guests to respond to her questions in accordance to her own playbook, She should have had a positive plan ''B'' in place, just in case her guest deviated from expected response. of course that could have been possible if she had any sence of intellect as most of us would expect of her, But you know she is From Radio Clouds and Can anybody expect anything better from such a radio!!!!!!!!!!!

That's her show, she hosts it, she gets to decide what goes on in it.
 
swali utakalomuuliza Wema, Daimond usilihamishe kama lilivyo umuulize kichwa JMnyika
 
Nadhani hawa waandishi wetu baadhi yao wana upeo mdogo sana wa kuchanganua mambo.Pia kuna watu wanataka kuleta hoja hapa kuwa hata kina Obama wanaulizwa maswali hayo yanayohusu private life zao na kukurupuka.Sio kweli hata siku moja.

Waandishi wote wanaofanya mahojiano na watu mashuhuri duniani kwenye vipindi vyao wapo makini na wanawapa wateja wao maswali wayapitie kabla.Endapo watauliza maswali nje ya makubaliano ya yale waliokubaliana kuna kuwa na taratibu nyingine kwani mara nyingi hizi show zinakuwa kibiashara.Mahojiano na watu mashuhuri kuhusu mmaisha yao binafsi ni biashara kubwa sana huko nchi za magharibi watu hawakurupuki.

Diva angekuwa anaakili na busara angemweka bayana mteja wake wazi mapema kuwa tutakapoenda hewani tuutazungumza 1,2,3... Sio kukuruupuka na kumuuliza "Una girlfriend" .Mimi sio mwandishi wa habari ila sizani kama maadili ya uandishi wa habari yapo hivyo hususani kwenye mahojiano.Hata huyo bosi wake Ruge sinzani kama angekuwa anahojiwa kwenye live show from no where mtangazaji akamuuliza "Una mke" ama "Una Ukimwi"...halafu akajibu mwandishi anavyotaka ,labda kuwe kuna hadidu za rejea kwenye hayo mahojiano.

Hawa wote wanaomwona mnnyika alikosea kujibu alivyoojibu ni wavivu wa kufikiri.Elimu na uzoefu ni swaala la msingi sana kwenye media.Huyu binti (Diva) anauelewa mdogo sana ndio maana John Mnyika alipokwepa swali akashindwa kuimudu ile hali na kukimbilia kukata simu.Zipo njia mbali mbali ambazo zinatumiwa kuwahoji watu mashuhuri/maarufu ili kupata taarifa kutoka kwao .Pia vyombo vya habari makini sio kila mtangazaji anapewa fursa ya kuwahoji hawa watu mashuhuri/marufu-kwani huwa hawapendi kuyaweka hadharani maisha yao binafsi.Wapo watu/watangazaji wenye uwezo wa kipekee wanapewa nafasi hizi.
 
Nadhani hawa waandishi wetu baadhi yao wana upeo mdogo sana wa kuchanganua mambo.Pia kuna watu wanataka kuleta hoja hapa kuwa hata kina Obama wanaulizwa maswali hayo yanayohusu private life zao na kukurupuka.Sio kweli hata siku moja.

Vipi kuhusu Bill Clinton kuulizwa kama anavaa boxers au briefs na yeye kujibu kuwa anavaa briefs?

Amid talks of a national crime bill, spectators were caught off guard when Clinton chose not to exercise executive privilege while taking part in an April 19, 1994, Enough is Enough town hall sponsored by MTV. After being asked, "Is it Boxers or Briefs?" Clinton laughed, and conceded, "Usually briefs." Source


​
 
Vipi kuhusu Bill Clinton kuulizwa kama anavaa boxers au briefs na yeye kujibu kuwa anavaa briefs?



​
Kuna technic ya kumtoa nyoka pangoni! Mtangazaji ameshaambiwa sitopenda kuzungumzia private life na yeye kama host akakubali then on air anauliza the same question! Huu sh upu.uzi! Alafu akashindwa kumshawishi Mnyika the way around anakata simu kihuni! Kibaya zaidi ilikuwa recorded tu mchana,baadae usiku anarusha hewani upu.uzi huo tena bila ridhaa ya Mnyika aliyekwisha kataa! Huyu mtangazaji mhuni tu na producer wake! Angekuwa Ruge angekata Simu? Diva (Diva?) ni mhuni na hizi media zetu ziwape training vijana kama hawa wajue maana ya broadcasting ethics! Narudia tena kama Mnyika angekuwa mshari kwa kitendo hichi Clouds kingewaweka pabaya na lazima wajifunze otherwise hao watangazaji wakihuni watai cost radio!! Diva tumezaliwa na kuukuta ulimwengu huu na walikuwepo wajuaji zaidi yako toka enzi za akina Cleopatra! Acha ujuaji wa kupitiliza! Maisha hayaendi hivyo kua kidogo na heshimu unachokisema kwenye media! Nidhamu muhimu kwenye kila jambo!
 
Vipi kuhusu Bill Clinton kuulizwa kama anavaa boxers au briefs na yeye kujibu kuwa anavaa briefs?



​

Unajua nani alikuwa anamuhoji? Utaalamu/ uzoefu wake katika maswala ya kufanya mahojiano na watu mashuhuri/maarufu?.Unajua alianzia na maswali gani mpaka alipofikia swali hilo Bill hakuona uvivu kulijibu?
Fikirisha ubongo kidogo
 
Kuna technic ya kumtoa nyoka pangoni! Mtangazaji ameshaambiwa sitopenda kuzungumzia private life na yeye kama host akakubali then on air anauliza the same question! Huu sh upu.uzi! Alafu akashindwa kumshawishi Mnyika the way around anakata simu kihuni! Kibaya zaidi ilikuwa recorded tu mchana,baadae usiku anarusha hewani upu.uzi huo tena bila ridhaa ya Mnyika aliyekwisha kataa! Huyu mtangazaji mhuni tu na producer wake! Angekuwa Ruge angekata Simu? Diva (Diva?) ni mhuni na hizi media zetu ziwape training vijana kama hawa wajue maana ya broadcasting ethics! Narudia tena kama Mnyika angekuwa mshari kwa kitendo hichi Clouds kingewaweka pabaya na lazima wajifunze otherwise hao watangazaji wakihuni watai cost radio!! Diva tumezaliwa na kuukuta ulimwengu huu na walikuwepo wajuaji zaidi yako toka enzi za akina Cleopatra! Acha ujuaji wa kupitiliza! Maisha hayaendi hivyo kua kidogo na heshimu unachokisema kwenye media! Nidhamu muhimu kwenye kila jambo!

Hahahahahaaa mtatoa mapovu mpaka mkauke. Diva was spot on to end the interview.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom