Haya mapenzi balaa! huyu Diva wa Clouds FM kazidi jamani

holygrail

JF-Expert Member
Mar 24, 2012
1,303
592
DIVA"KABLA YA KUWA NA GK NILIKUWA NA DATE NA MWANASIASA"

Diva alikuwa akihojiwa na mtandao wa Makorokocho.

Swali : Je ni kweli Unatoka na GK?

Diva : ofcoz doe …. Gk is my Angel, My Husband, My Forever Favorite Man. My sugar My sweetie…My heart .. my better and half, My life….My Boifriend..i call him dat, My Boyfriend.

Swali : Unampenda Crazy GK?

Diva: with all my heart … like never before…… never knew kama kuna Penzi kama hili before. holding it so close..dearly.

Swali : Kabla ya kuwa na GK ulikua na nani?

Diva : Gosh ..but well ermmm …… dated this Politician kwa muda mrefu sana, miaka nearly 4 years … he was the only one., don't wanna put his name on Public tho….until i met My King..

Swali : Kwanini Mliaachana na huyo Mwanasiasa?

Diva : misunderstanding zilizidi, i don't really wanna talk about it My focus is My king now….My baby, My lover ..My Gk.

Swali : Uliwahi kuwa katika mahusiano na Brother from 254 Kenya Prezoo, mahusiano yenu yaliishia vipi?

Diva : Prezoo na mimi tulikutana wakati ana interview, so baada ya hapo tukawa tuna chat kwa simu, sikupenda alivyofanya interview kwenye XXL ya
Clouds fm You heard… akasema eti anataka kunioa, nilikasirika sana nakumbuka nilimuuliza akajibu eti ameongelea feeling zake, lakini tuliishia kuwa na long distance relationship, aliingia kwenye moyo wangu kwasababu nilikua nimegombana na boy friend wangu mwanasiasa, lakini badae nikaona niachane na Prezoo, ila hatujawahi kufanya any sex . we touched, we kissed, we had our love story and ikaisha, to me dats normal, …. hakukuwa na mahusiano ya mahitaji ya kimwili baina yetu, sikuwa ready for dat… it was just a fling. ila Prezzo such a nice guy. No regrets, gladly i met him in real life, and we good tunaongea tunawasiliana, sio ugomvi kuachana. i still love his music, such a fan of him.

Swali : Mara ya kwanza kukutana Na GK na ilikuaje?

Diva : Well Mara ya kwanza kukutana na Gk ilikua ni mwaka 2013, siku ambayo GK alikuja kwenye kipindi changu kwa ajili ya Interview, kabla ya hapo
nilikua namwona kwenye Music Videos only but hakunivutia at the first place, i was happy met The Music Mesiah tho. music veteran, gladly met the
Legendary,The King.

Swali : Ulijiskiaje baada ya kumwona?

Diva : Nilifurahi, tulisalimiana, kama navyokutana na wasanii wengine, alikua anaonekana kama nilivyokua namwona kwenye TV, na yeye anakaniambia Jinsi anavyoniona ni tofauti na nilivyokua anafikiria, alidhani mimi ni mdada mtu mzima, na alifikiria mimi ni msichana mwenye kuringa sanaaa, na Sister Du Sanaaa, baadae aliniambia eti siku hiyo hiyo ya kwanza akanipenda (Love at First Sight lol)

Swali : Interview Uliionaje?

Diva : Nilikua na mhoji Legendary, ni kama Kufanya Interview na Jay Z, na baada ya mahojiano hayo nilipata my credits as usual. it was BOOM..Kick ass show.

Swali : Ulimuuliza maswali juu ya mahusiano yake yaliyopita?

Diva : Ndio nilimuuliza Una Girlfriend? Akajibu ninae, nikamuuliza ndo huyo mzungu ninaemskia? Akanijibu umejuaje? Then akasema kweli ana
girlfriend Mzungu na vingine nini nini ……………..

Swali : baada ya Siku hiyo mawasiliano yenu yalikuaje?

Diva : tulikua tuna chat kama watanzania wa kawaida, Good morning My Diva. how are you…hizo yaan…ila kuna siku nilienda kula kwa Aunt yangu
Upanga, kwenye Chatting nikamwambia nipo Upanga akaniuliza upo maeneo gani, nikamjibu akaja na baadae nikatembelea Kwao the same day we Kissed lakini, it was a good kiss, a kiss to remember… btw i needed dat kiss..when he kissed me man…. it was like magic. kwasababu nilikua na Boy friend mtu mzima kidogo, just experienced the difference with the finest… hehee…

Swali : Crazy GK Aliwezaje kuzibamba hisia zako?

Diva : A liniletea Vannila Ice cream ,gosh i so love Vanilla Ice cream, My favorite you know…(cinderela life Story) that means kuna vitu mimi napenda ambavyo wanaume wengi hawawezi kufikiria, wanaume wengi wakinifata wanahisi napenda vitu expensive lakini mimi napenda vitu vya watoto, I need a man ambae atani treat kama mtoto, even on valentines..had valentines to remember. dats my baby.

Swali : Chemistry yenu iko vp, mnaiva sana ama?

Diva : He is nice and we connect….. enjoying the moment with My Special Man, My king, My Gk

Swali: Any Future Plans?

Diva : Mipango ni kuwa na furaha zaidi maishani, I love him, we love each Other, we just wanna be happy and yes tunataka kuzaa mtoto… coz i need kuwa na mtoto this 2014 yaani. we agreed tutamuita Hailey Presley Montana Kaihula. a baby boy pliz lol, thanks
diva.jpg

Diva
attachment.php

GK
 
Kabla ya GK alikuwa na mzee??
Ndo mwanasiasa huyoo..
hivi mjukuu wa mwandinga keshazeeka???
 
Kila akiwa na mpenzii my love 'my king 'my sweet hata kwa Prezo ilikua hivhiviii kwa zito kabwe alipambwa kwelii anafaa kua raisiii leo yako wapiiii hahhha hajatulia halaf wote anawapata kwenye hizo interview akitoka Gk atakuja msanii mwingine akienda tu kuhojiwaa nae atapitaa na atabaki kusema love at first sight
 
Kila akiwa na mpenzii my love 'my king 'my sweet hata kwa Prezo ilikua hivhiviii kwa zito kabwe alipambwa kwelii anafaa kua raisiii leo yako wapiiii hahhha hajatulia halaf wote anawapata kwenye hizo interview alitoka Gk atakuja msanii mwingine akienda tu kuhojiwaa nae atapitaa

lazma wanaswe na kale ka sauti ka kumtoa 'nyoka' pangoni!...ila kiukweli huyu mtoto wa kawaida sana! Nashangaa watu wanavyo mpatitikia....
 
Diva akipata mwingine atamsifia tu. Yaani? Mbona kila interview atakuwa na boy mpya. Au? Is she right for GK? Mungu awatangulie.
 
Back
Top Bottom