Kiziza
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 439
- 77
Hapa ndipo ninapowapendea Clouds Fm. Hawapendi wanasiasa wanaotanguliza siasa. Nakumbuka Kibonde alivyomshukia Mnyika kama mwewe kuhusu Membe, Kikwete na tuhuma za Tanzania kuhusu silaha: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ia-mnyika-wampuuza-kwa-kuchanganya-mambo.html
Kumbe wewe ndio huyohuyo Radhia yaani unaongea na kujijibu wewe ndio mshamba yule wa mwisho.