GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!
Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.

<br />Unamaviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
sasa jamani kunishambulia kiasi hiki hakusaidii. Sidhani kama nimekosea ni bora mkanielekeza. Kauli mnazotuia mtanifanya nisitowe tena mawazo yangu kitu ambacho si haki.
Mbunge hawakilishi maslahi ya wapiga kura wake tu bali hata ya taifa ambapo wapiga kura wake ni sehemu ya taifa. Vikao vya bunge ambapo masuala kama maji na mengineyo hujadiliwa na kutolewa majibu na wahusika havijaanza mpaka mwezi wa pili kwa taarifa yako.M,bona mnaanza kumwandama kijan wa watu mapema? kama mlimwona hafai tangu mapema si mngemchagua Hawa Ngumbi? Inaonekana wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo!Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!
Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.
sasa jamani kunishambulia kiasi hiki hakusaidii. Sidhani kama nimekosea ni bora mkanielekeza. Kauli mnazotuia mtanifanya nisitowe tena mawazo yangu kitu ambacho si haki.
Umaarufu unalizimishwa au unakuja tu, Mnyika ni maarufu acha wivu na hiyo kazi anayofanya ndio kazi za wabunge sisi wapiga kura wake tumemwambia tunataka katika mpya na yeye anafanya kazi kututafutia katika mpya na kwa kazi hii 2015 ana kura zetuSifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!
Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.
sasa jamani kunishambulia kiasi hiki hakusaidii. Sidhani kama nimekosea ni bora mkanielekeza. Kauli mnazotuia mtanifanya nisitowe tena mawazo yangu kitu ambacho si haki.
...MTATIRO.
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!
Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.
Sifikirii kama watu wa ubungo wamemtuma kazi hiyo ya kupeleka mapendekezo ya katiba. Sisi wana ubungo tuna matatizo mengi sana hasa tatizo la maji. Yeye anajipendekeza na kutafuta umaarufu. Kazi tuliyomtuma imemshinda au!
Kama ataendelea kutukiuka watu wa ubungo basi ajue ndio mwisho wake. 2015 tunarudi CCM au kwa kijana wetu MTATIRO.
CharityBoy, this is the home of Great Thinkers. Mbona unaleta hoja za kipuuzi namna hii?
Kwanza nina wasiwasi kama wewe ni mwana-Ubungo na pili nina wasiwasi kama umepiga kura.
Kama umepiga kura basi nina wasiwasi na ubongo wako maana unampigia kura mtu ambae hajui majukumu yake.
Nakushauri fuatilia hii link ujue majukumu ya Mnyika halafu utajigundua kuwa akili yako haiko vizuri na hustahili kuwepo JF http://www.tanzania.go.tz/images/katibamuungano.pdf