KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 2,066
- 2,147
Hata huoni aibu kuhubiri ujinga
Mkuu ni kweli sioni ujinga kuuhubili mana ujinga wangu ni ule aliosema SANKARA.
Hata huoni aibu kuhubiri ujinga
Watanzania wa leo siyo watu wanaodanganywa na wasaliti wanaolipwa na CCM kuua upinzani nchini.
Mkuu Shardcole, kwanza nakubaliana na wewe, in maters of justice and injustice and oppression hakuna neutrality, only if hiyo injustice, na oppression is real na sio oppression ya hizi kelele za Chadema kulia ujinga ujinga!.Mara kwa mara Pasco umekuwa ukijitahidi kujionesha kuwa ni neutral katika politics, lakini kwa bahati mbaya umekuwa ukishindwa kumaintain uneutral wako hatimaye na rangi zako halisi kujulikana kuwa ni gamba halisi,
Hata siku moja huwezi kuwa neutral in th, e matter of justice.
When your neutral in the matter of oppression and injustice, you have chosen on the side of oppressor"-(Mahatma Ghandi)
Uzi huu ulikuwa ni 2010, angalia muda gani ulipita kabla hawajiuliza, wakampiga chini Makamba Sn, wakamleta Makamba Jn na Nape!, na sasa wanatumia mbinu mpya kwenda kwa wananchi kuishitaki serikali!.Wanabodi,
Nasisitiza CCM imechokwa, na ule ushindi wa kishindo wa toka Asilimia 80% mpaka asilimia 60% ni uthibitisho tosha, Watanzania wameichoka CCM ila pia hawakuwachagua wapinzani kwa wingi zaidi, kwa sababu wapinzani hawajaonyesha wako tayari kukamata dola.
Najua kwa dhati, japo JK anafurahia ushindi kwa furaha ya machoni, lazima atakuwa na huzuni moyoni kwa kukataliwa na hiyo asilimia 20% kukataliwa ni kukataliwa tuu, kunauma. Hivyo CCM lazima watakaa na kujiuliza kulikoni, huenda wakajipanga upya na kuja kwa mbinu mpya, ila kwa vile CCM imechokwa, hata ijipange upya vipi, safari ya kwaheri ndio imeanza, there is nothing to stop it from failing down!.
Dawa pekee ya kuitibu CCM, ni kuirevamp CCM completely, task nambari moja ni Makamba should go first with his old guards team. Msisubiri mpaka uchaguzi mkuu wa chama chenu, miaka miwili ijayo (2012), itakuwa too late. If you are to do anything, doi it now and fast!. Leteni fresh blood kina January type, Kippi, Nape type and the like ambao wanaweza siasa za kisasa za dot com type!.
Uchaguzi ni just keshokutwa Chadema mmejipanga vipi?, nimenote ndio sasa mnakumbuka shuka kumekucha!, ikitokea mkipigwa tena chini 2015, mtamlilia nani wakati kila kitu mliambiwa toka mwanzo?!.Wanabodi,
Hakuna ubishi, Chadema imenyanyuka, toka wabunge 5 mpaka 22 wa kuchaguliwa tena majimbo ya haja, huku sio kukua bali ni kupaa, tatizo kubwa la Chadema, bado hawajipanga.
Kichama, wanachadema mkubali msikubali, chama chenu japo kipo juu, lakini bado hamjajipanga kwa sura ya kitaifa.
Kwa vile CCM imekaa mkao wa kifo, hii ndio opportunity yenu kujipanga muwe na sura ya kitaifa, Watanzania wawamini wawakabidhi nchi mwaka 2015.
Kitendo cha kuihodhi kambi ya upinzani Bungeni, huu ni udhaifu mkubwa ambao hautawafikisha mbali. Pamoja na kanuni za bunge kuruhusu Chadema kuunda kambi rasmi ya upinzani, Chadema peke yenu hamuwezi!.
Kama CCM iko ICU na Chadema haijajipanga, spika ndio huyo mama ma over confidence na over reaction, 2015 tutegemee nini?.
Kwa hiyo wewe ni rangi gani?Wala sijazidiwa, mie namuona mjinga tu huyo jamaa yenu na wala hanisumbui... lakini kwa kuwa mara zote anakuja kwangu kwa kashfa huku akijifanya ananijua wakati hanijui, basi nami mara zote nitamshukia kwa kashfa. Kwangu kuambiwa eti ni CCM siwezi kuona ni makombora zaidi ya kuona ni upumbavu coz' hata hao wana-CCM wenyewe ukiwaambia NasDaz ni mwenzenu watakushngaa kuanzia chini hadi juu!
Kuna wakati niliwa-criticize CHADEMA humu jamvini kwa tabia yao ya kutotaka kwenda kwenye baadhi ya mikoa halafu wakiimbulia kura mbili, wanachama na mashabiki wao wanaanza kuwakejeli watu wa huko kwamba hawakusoma ndio maana wako nyuma katika "kupigania ukombozi!" huku wakidhani kwamba watu, hususani wa kusini wa kusini ni wapumbavu wanaoweza kumpigia mtu kura kwavile tu wanamsikia!
Katika kujibu shutuma hizo, akatokea mwana-CHADEMA mmoja akasema CHADEMA haijaweka nguvu kusini kwa sababu kule ni ngome ya CUF kwahiyo wasingependa kushindana na mwenza wao! Binafsi niliita huo ni utetezi wa kijinga kabisa usio na maana yoyote! Sasa je, ina maana hii leo huko kusini sio ngome tena ya CUF? Hivi mtaendelea kuwadanganya wanachama na mashabiki wenu hadi lini pale mnapofanya uzembe mnasingizia sababu zisizo na kichwa wala miguu, and very unfortunately na wao wanakubali tu!
Mkuu ni sawa unayosema lakini mimi naamini ukombozi wa nchii hii utaletwa na kiongozi yeyote toka ACT WAZALENDO.Sasa napomshabikia mtu aliepo ndani ya ACT WAZALENDO bila shaka nashabikia taasisi yenye majawabu ya matatizo ya watanzania.Zitto ni mfuasi wa UJAMAA wa vitendo Pia ACT ni wafuasi wa UJAMAA wa vitendo.Kalibu tuirudishe nchi yetu kwenye misingi.Acha kushabikia watu kama Mungu wako wewe.Hivi huoni hata Aibu?
Badala ya kuunga mkono sera za chama wewe kutwa kucha kumshangilia Mungu mtu wa ACT kama Zuzu
Mkuu ni sawa unayosema lakini mimi naamini ukombozi wa nchii hii utaletwa na kiongozi yeyote toka ACT WAZALENDO.Sasa napomshabikia mtu aliepo ndani ya ACT WAZALENDO bila shaka nashabikia taasisi yenye majawabu ya matatizo ya watanzania.Zitto ni mfuasi wa UJAMAA wa vitendo Pia ACT ni wafuasi wa UJAMAA wa vitendo.Kalibu tuirudishe nchi yetu kwenye misingi.
Meshamuliza Zana za Kilimo kwanini alichukua Hela ccm na hakufanikiwa yale waliyo kubaliyana nao?Mkuu ni sawa unayosema lakini mimi naamini ukombozi wa nchii hii utaletwa na kiongozi yeyote toka ACT WAZALENDO.Sasa napomshabikia mtu aliepo ndani ya ACT WAZALENDO bila shaka nashabikia taasisi yenye majawabu ya matatizo ya watanzania.Zitto ni mfuasi wa UJAMAA wa vitendo Pia ACT ni wafuasi wa UJAMAA wa vitendo.Kalibu tuirudishe nchi yetu kwenye misingi.
Mkuu Shardcole, kwanza nakubaliana na wewe, in maters of justice and injustice and oppression hakuna neutrality, only if hiyo injustice, na oppression is real na sio oppression ya hizi kelele za Chadema kulia ujinga ujinga!.
Mimi nimejibainisha kuwa nasimama kwenye kweli, na siku zote kweli daima ndio itasimama mpaka mwisho!. Katika kusimama kwenye kweli, CCM nimeieleza ukweli kuwa umechokwa!, tembelea ule uzi wa CCM Imechokwa
angalia tarehe ya uzi ule, angalia nilishauri CCM wafanye nini kupunguza kuchokwa kule, na pia nikaweka na majina ya watu, kisha angalia CCM ilifanya nini baada ya muda gani na angalia majina ya watu iliyowaingiza!. Kwa kuwasaidia wavivu wa kusoma, nilisema hivi kuhusu CCM Uzi huu ulikuwa ni 2010, angalia muda gani ulipita kabla hawajiuliza, wakampiga chini Makamba Sn, wakamleta Makamba Jn na Nape!, na sasa wanatumia mbinu mpya kwenda kwa wananchi kuishitaki serikali!.
Nilipoiambia CHADEMA Haijajipanga! hapa ikawa ni kama nimetangaza vita na watu wa Chadema, angalia nilisema lini, na Chadema imefanya nini?!. Angalia nilisema nini, Uchaguzi ni just keshokutwa Chadema mmejipanga vipi?, nimenote ndio sasa mnakumbuka shuka kumekucha!, ikitokea mkipigwa tena chini 2015, mtamlilia nani wakati kila kitu mliambiwa toka mwanzo?!.
Tuna tatizo humu na watu ninaowaita ni manazi wa Chadema ambao baadhi yao ni vichwa nazi, lakini wengine ni vichwa dafu, koroma au hadi madebe matupu, kazi yao ni kupiga tuu kelele lakini uwezo wa reasoning ni sifuri, zero, completely nil!. Hawa kwa vile wao ni manazi wa Chadema wanataka kila mtu ni ama lazima awe Chadema, na kama sio Chadema basi lazima ni CCM!, hivyo ukiisoa tuu Chadema, then wewe ni ama msaliti, ama ni CCM ama umetumwa na CCM!.
Uzuri wa jf ni keeping records for references, hivyo mimi sioni shida wa taabu yoyote kukosana na watu humu katika jambo ambalo tutakuja kupatana!, kama kwa kuwaambia ukweli Chadema, ndio nitaitwa gamba, then let it be, ila mwisho wa siku, nitawakumbusha humu, nilisema nini lini, mlifanya nini na matokeo ni nini, kisha au tutapongezana kwa ushindi, au tutazomeana kwa kushindwa kwa ujinga wenu!.
Kwenye suala la justice na Chadema, lifute kabisa!, Chadema ni madikiteta wa ajabu kabisa, na mimi nimeishatoa angalizo humu kama hawatabadilika, tukifanya kosa la kuwapa nchi 2015 kabla hawajabadilika, nakuhakikishia Watanzania tutajuta!. Faraja pekee iliyopo kwa upinzania kuchukua nchi kwa sasa ni kupitia UKAWA, tena kuna mtu anaitwa 'jamaa yangu' ajiunge na UKAWA, vinginevyo hiyo ikulu mtaishia kuisikia tuu!. Sasa ni maukweli makali na machungu kama haya ambayo ni ngumu kumeza, ndio yanayopelekea mimi kuitwa gamba, kama mtu utaitwa gamba kwa kusema ukweli, niko tayari kuitwa gamba kwa furaha zote, kuliko kuwashangilia wajinga jinga fulani, wanaoishi kwa matumaini batili ya kuishika dola wakiamini watakabidhiwa tuu kama wana Israel waliposhushiwa mikate ya mana!, no way!, Ikulu must be earned!.
Pasco
Yap ni Mzalendo ndio mana yupo chama cha WAZALENDO.
Uzalendo wa Zzk ni ule wakuanzisha chama ndani ya chama?Mkuu rudia kusoma AZIMIO LA MTWARA,lilotolewa na MZALENDO ZZK 31 DESEMBER mwaka uliopita.Ili utambue ni mtu wa aina gani wa kulikomboa taifa hili.
Pasco bila shaka jamaa yako unaye mzungumzia ni Mataka na inaonyesha kuwa wewe unaamini katika mtu mmoja na siyo taasisi kitu hicho tumekuwa tukikipinga ndani ya chadema hatutaki staa ndani ya chama chetu huyo mtaka mtafutie pa kwenda....
Kwenye suala la justice na Chadema, lifute kabisa!, Chadema ni madikiteta wa ajabu kabisa, na mimi nimeishatoa angalizo humu kama hawatabadilika, tukifanya kosa la kuwapa nchi 2015 kabla hawajabadilika, nakuhakikishia Watanzania tutajuta!. Faraja pekee iliyopo kwa upinzania kuchukua nchi kwa sasa ni kupitia UKAWA, tena kuna mtu anaitwa 'jamaa yangu' ajiunge na UKAWA, vinginevyo hiyo ikulu mtaishia kuisikia tuu!. Sasa ni maukweli makali na machungu kama haya ambayo ni ngumu kumeza, ndio yanayopelekea mimi kuitwa gamba, kama mtu utaitwa gamba kwa kusema ukweli, niko tayari kuitwa gamba kwa furaha zote, kuliko kuwashangilia wajinga jinga fulani, wanaoishi kwa matumaini batili ya kuishika dola wakiamini watakabidhiwa tuu kama wana Israel waliposhushiwa mikate ya mana!, no way!, Ikulu must be earned!. ..
Pasco
Nenda Act kanzishe chama ndani ya chama maana ndio mwendo wa WasakatongeMkuu sijawahi kujiunga na chama chochote mpaka hapa nipo kuja ona chama kinachonifaa,Lakini mimi ni mfuasi wa UJAMAA tena wa vitendo na sera safi.Pia ni mwiko kwangu siasa zs majitakka na matukio.Kalibu sana ACT WAZALENDO tuirushe nchi kwenye misingi.
Naona wasakatonge wenzako wamejikusanya ACT sasa mchepuko wenu wakikata misaada ambao ni ccm mtaenda kupiga wapi deal?Wala sijazidiwa, mie namuona mjinga tu huyo jamaa yenu na wala hanisumbui... lakini kwa kuwa mara zote anakuja kwangu kwa kashfa huku akijifanya ananijua wakati hanijui, basi nami mara zote nitamshukia kwa kashfa. Kwangu kuambiwa eti ni CCM siwezi kuona ni makombora zaidi ya kuona ni upumbavu coz' hata hao wana-CCM wenyewe ukiwaambia NasDaz ni mwenzenu watakushngaa kuanzia chini hadi juu!
Mkuu amevurugwa kwa lipi,Jalibu kufafanua kidogo.
Kuna tofauti ya kimaana kati ya 10 asubuhi na 10A.M?Kikao cha chama kinaanza saa 10 asubuhi?!