Mnyika kuzindua kanda ya Kusini rasmi

Mnyika kuzindua kanda ya Kusini rasmi

Hamna shida KAMANDA.Mjitahidi tu kunadi sera mtafanikiwa.Lakini mkikalia kusema fulani na fulani nii fisadi,Sijui fulani anatumwa na ccm kamwe hamtofanikiwa.

CCM wana mbinu nyingi za kuua Upinzani wa kweli! Fikiria kwa nini CCJ haikupata usajiri kama chama na ACT ikapata usajiri kama inateleza tu! watanzania tunajua na tunamaono ambayo Mungu anawapa watu wake waliojitambua! Huyu jamaa anacheza ngoma huku akijua kuwa ni msaliti wa wananchi kwa mgongo wa neno mzalendo!
 
Pamoja sana Makamanda.Hii ndiyo Chadema tunayoijua.
 
Kuna wakati niliwa-criticize CHADEMA humu jamvini kwa tabia yao ya kutotaka kwenda kwenye baadhi ya mikoa halafu wakiimbulia kura mbili, wanachama na mashabiki wao wanaanza kuwakejeli watu wa huko kwamba hawakusoma ndio maana wako nyuma katika "kupigania ukombozi!" huku wakidhani kwamba watu, hususani wa kusini wa kusini ni wapumbavu wanaoweza kumpigia mtu kura kwavile tu wanamsikia!

Katika kujibu shutuma hizo, akatokea mwana-CHADEMA mmoja akasema CHADEMA haijaweka nguvu kusini kwa sababu kule ni ngome ya CUF kwahiyo wasingependa kushindana na mwenza wao! Binafsi niliita huo ni utetezi wa kijinga kabisa usio na maana yoyote! Sasa je, ina maana hii leo huko kusini sio ngome tena ya CUF? Hivi mtaendelea kuwadanganya wanachama na mashabiki wenu hadi lini pale mnapofanya uzembe mnasingizia sababu zisizo na kichwa wala miguu, and very unfortunately na wao wanakubali tu!
 
Kamanda vipi?.Mbona unaonekana una raha sana,mnaenda kuvunja ngome za CUF kwa mwamvuli wa UKAWA.Mimi nawatakia kila la kheli lakini nchi hii inahitaji WAZALENDO zaidi.Tukimaliza ziara ya mikoa kumi,Tunakuja kaskazini kuhubili uzalendo na kutoa majawabu ya matatizo yanayo ikumba nchi yetu.Watanzania wa sasa ni waelewa huwa wanapima mambo kabla yakufanya uamuzi,Nachowasihi mnadi sera zenu huko mtwara mtawafanyia nini wananchi na mtaunda serikali ya aina gani baada ya kuingia IKULU.Nawatakia kila la kheli MAKAMANDA lkn mkumbuke kutenda yale mnayohubili.

Mzalendo subirini dawa iwaingie chama chetu kimeingia mifupani mwa watanzania, nyie kujaza watu si ajabu kwani hata yamoto band huwa wanajaza watu.
 
Kuna wakati niliwa-criticize CHADEMA humu jamvini kwa tabia yao ya kutotaka kwenda kwenye baadhi ya mikoa halafu wakiimbulia kura mbili, wanachama na mashabiki wao wanaanza kuwakejeli watu wa huko kwamba hawakusoma ndio maana wako nyuma katika "kupigania ukombozi!" huku wakidhani kwamba watu, hususani wa kusini wa kusini ni wapumbavu wanaoweza kumpigia mtu kura kwavile tu wanamsikia!

Katika kujibu shutuma hizo, akatokea mwana-CHADEMA mmoja akasema CHADEMA haijaweka nguvu kusini kwa sababu kule ni ngome ya CUF kwahiyo wasingependa kushindana na mwenza wao! Binafsi niliita huo ni utetezi wa kijinga kabisa usio na maana yoyote! Sasa je, ina maana hii leo huko kusini sio ngome tena ya CUF? Hivi mtaendelea kuwadanganya wanachama na mashabiki wenu hadi lini pale mnapofanya uzembe mnasingizia sababu zisizo na kichwa wala miguu, and very unfortunately na wao wanakubali tu!

Acha porojo wewe mfuasi wa CCM.Subiri dawa ikuingie vizuri.

Mtadata sana mwaka huu CCM na vibaraka wenu!
 
CCM wana mbinu nyingi za kuua Upinzani wa kweli! Fikiria kwa nini CCJ haikupata usajiri kama chama na ACT ikapata usajiri kama inateleza tu! watanzania tunajua na tunamaono ambayo Mungu anawapa watu wake waliojitambua! Huyu jamaa anacheza ngoma huku akijua kuwa ni msaliti wa wananchi kwa mgongo wa neno mzalendo!

Tukiipiga CCM tunakuwa tumeipiga ACT.Hiyo ni Two in One.
 
Mmechelewa, Mtwara twasubiri kuipokea ACT Wazalendo, Chadema ni chama cha kaskazini

pamoja tutalijenga taifa letu.sisi songea jana tumeonyesha nia yetu kukiunga mkono chama cha wazalendo
 
Asante kwa taarifa; kazi yako inaonekana kamanda, lakini ni muhimu kiongozi ukajitahidi kutenga muda zaidi wa kuwa unajibu taarifa zinahosu chama humu jukwaani, hasa zinapogusa watu ambao ni wabunge au viongozi wetu, au ni watumishi hapo makao makuu,. Kuna upotoshaji mwingi sana humu umeletwa wiki nzima hii lakini kwa bahati mbaya tumekosa usahihi wa taarifa hizo kutoka makao makuu ya chama; nakutakia kazi njema;
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kitakuwa na kikao cha kanda ya kusini ambacho hotuba ya ufunguzi itatolewa na nkmb jj mnyika, leo kuanzia saa 10.00 asubuhi ukumbi wa, karibu na maisha club. Kesho pia atafanya mkutano mkubwa hapo mtwara mjini kuanzia saa 8 mchana.
Ziara hiyo ni mwendelezo wa maboresho ya kanda za chama ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu..
 
Kuna wakati niliwa-criticize CHADEMA humu jamvini kwa tabia yao ya kutotaka kwenda kwenye baadhi ya mikoa halafu wakiimbulia kura mbili, wanachama na mashabiki wao wanaanza kuwakejeli watu wa huko kwamba hawakusoma ndio maana wako nyuma katika "kupigania ukombozi!" huku wakidhani kwamba watu, hususani wa kusini wa kusini ni wapumbavu wanaoweza kumpigia mtu kura kwavile tu wanamsikia!

Katika kujibu shutuma hizo, akatokea mwana-CHADEMA mmoja akasema CHADEMA haijaweka nguvu kusini kwa sababu kule ni ngome ya CUF kwahiyo wasingependa kushindana na mwenza wao! Binafsi niliita huo ni utetezi wa kijinga kabisa usio na maana yoyote! Sasa je, ina maana hii leo huko kusini sio ngome tena ya CUF? Hivi mtaendelea kuwadanganya wanachama na mashabiki wenu hadi lini pale mnapofanya uzembe mnasingizia sababu zisizo na kichwa wala miguu, and very unfortunately na wao wanakubali tu!

ulitoa ushauri wako wakaja na sababu nyepesi dhidi ya hoja zako kubwa, leo wamefwata ushauri wako bado unalalmika, sasa sijui unataka wafanye nini?
 
We jamaa nilishakupuuza long time... you're just a dumb to me!

Unipuuze usinipuuze its none of my business..Kinachokukimbiza kila thread ya CDM kuja kutukuza CCM ni kitu gani?

Tutaendelea kuonyesha rangi zako kwa hali yoyote mpaka siku utakapoacha kuhangaika na kuchafua Chadema.
 
Mzalendo subirini dawa iwaingie chama chetu kimeingia mifupani mwa watanzania, nyie kujaza watu si ajabu kwani hata yamoto band huwa wanajaza watu.

Umempa vidonge vyake mkuu..Hawa watu wanakera sana.
 
Unipuuze usinipuuze its none of my business..Kinachokukimbiza kila thread ya CDM kuja kutukuza CCM ni kitu gani?

Tutaendelea kuonyesha rangi zako kwa hali yoyote mpaka siku utakapoacha kuhangaika na kuchafua Chadema.
Akili hauna wewe mzee... unaweza kusema ni wapi nimeichafua hiyo CHADEMA? By the way, wewe una haki gani ya kuniambia niingie thead ipi na ipi nisiingie? Eti "tutaendelea" wewe na nani? Peleka mbele hu upumbavu wako kama unadhani kila mtu ni mtu wa kushangilia kila kitu, then you're very wrong!
 
Back
Top Bottom