Mnyika kuzindua kanda ya Kusini rasmi

Mnyika kuzindua kanda ya Kusini rasmi

Kanda ya Kusini mikoa ya Lindi na Mrwara ni ngome ya CUF, ni vema hii NGO ya Mtei ikatambua hilo ili UKAWA iendelee kubaki...!

Ndio hapo tunapoona umauti wa akili za UVCCM, CHADEMA mnaita saccos lakini kila siku inawalaza hoi mnatumia mabilion ya shilingi kupambana na saccoss? Hahahaha basi hii saccoss ni makini sana, ndio iliyoweza kuwafungua akili walimu, wanafunzi, wafanyabiashara, wakulima, mashehk, maaskofu, madereva juu ya haki zao hatimaye leo hii kila kukicha ni migomo ya kufa mtu, na bado huo ni mwanzo tu mkuu more struggles to come ahead just before hamjatuachia nchi yetu mwezi october.
 
Umezidiwa makombora....hahaha
Wala sijazidiwa, mie namuona mjinga tu huyo jamaa yenu na wala hanisumbui... lakini kwa kuwa mara zote anakuja kwangu kwa kashfa huku akijifanya ananijua wakati hanijui, basi nami mara zote nitamshukia kwa kashfa. Kwangu kuambiwa eti ni CCM siwezi kuona ni makombora zaidi ya kuona ni upumbavu coz' hata hao wana-CCM wenyewe ukiwaambia NasDaz ni mwenzenu watakushngaa kuanzia chini hadi juu!
 
Last edited by a moderator:
haya basi tukubaliane na wewe waliwadanya watu, sasa wamefanya ulichotaka, povu la nini sasa
Unafahamu maana ya povu ndugu? Mie nimehoji, ina maana siku hizi huko Kusini CUF haipo hadi mdanganye watu kwamba hamkuepeleka harakati kusini kwa ajili ya CUF? Haya sasa, kwa maoni yako wewe, povu hapo lipo wapi?
 
Mkuu, hivi yapi majukumu ya Mwenyekiti wa Taifa wa ACT ana yapi majukumu ya Kiongozi Mkuu? Tuanzie hapo. Tunajua shule za Kata zimeharipu uelewa na ufahamu wako; hata hivyo, sina hakika kama walimu wako walikufundisha matumizi hovyo ya herufi kubwa, wapi pa kutumia "l" na "r", wapi neon xn linamaanisha nini. Kama ndiyo watu wa hivi mnategemewa mje kuwa viongozi wa Taasisi zetu hizi, basi kuna shida zaidi ya shida

Asante sana mkuu,kwanza nikweli mimi nimesoma shule za kata,Lakini kwa masomo niliyosomo hapakuwa na ulazima wakuzingatia herufi kubwa au ndogo.Mana nyie wenye hayo masomo ndio mnalalamika hampewi mkopo.Majukumu ya Mwenyekiti ni kusimamia na kuongoza mikutano yote ya chama nje ya mikutano tendaji.Pia nikuhakikisha sera na itikafdi za chama chetu zinafuata na kuhubiliwa na viongozi wote wa ngazi za chini kwa umakini na usahihi.Pia kiongozi wachama kuwajibika kwa Mwenyekiti juu yta majukumu yake yahusuyo chama.Kazi ya Kiongozi wa chama ni kueneza sera za chama,kutoa miongozi kitaifa juu ya uelekeo wa chama na kukinadi chama nje ya nchi.Pia kuendesha mikutano tendaji ndani ya chama kitaifa nakurejesha mlejesho kwa mwenyekiti juu ya mafamikio yake yakukinadi chama au kufeli kwake kukinadi chama.Hayo ni kwa ufupi tu lakini vizuri zaidi ukaitafuta katiba ya WAZALENDO,Kalibu ACT WAZALENDO tuirudishe nchi kwenye MISINGI.
 
Mkuu tatizo la watu wengi ni wafia vyama badala ya kufia nchi yao.Jambo la msingi kila chama nikujiimalisha kadri ya uwezo wake dhen wananchi watapembua MCHELE NA PUMBA.Tatizo la watani zangu CHADEMA wao wanakimbilia kukashifiana badala ya kujenga hoja.Ndio mtu kama mimi nilishindwa kuwa nachama chochote cha siasa maana siasa za vurugu sipendi pia CCM siipendi,Lakini napoona chama chenye kunadi sera na kuepusha CHUKI miingoni mwa wananch wake basi mimi hilo ndio kimbilio langu.

Kufia CHADEMA chama cha ukombozi ndiyo kuifia nchi, huwezi kuipigania Tanzania bila kwanza kuipigania CHADEMA, Kwa maana kila harakati za kuikomboa Tanzania lazima ziendeshwe in the Name of CHADEMA.

CHADEMA AND TANZANIA ARE INSEPARABLE, WHEN YOU STAND FOR CHADEMA, YOU STAND FOR TANZANIA.
 
Mara kwa mara NasDaz Waberoya Pasco mmekuwa mkijitahidi kujionesha kuwa ni neutral katika politics, lakini kwa bahati mbaya mmekuwa mkishindwa kumaintain uneutral wenu hatimaye na rangi zenu halisi kujulikana kuwa ni magamba halisi,

Hata siku moja huwezi kuwa neutral in the matter of justice.

When your neutral in the matter of oppression and injustice, you have chosen on the side of oppressor"-(Mahatma Ghandi)
Naweza kukupa kibarua cha kutafuta angalau post moja achilia mbali thread ambayo nimewahi kuikashifu CHADEMA au kuonesha kwamba CCM ndio kila kitu... tafuta na tuwekeane dau mbele ya Invisible, ukipata nakupa TZS 50,000/- hapa hapa!

Ifike tu wakati mkubali kwamba kuna wengine huwezi kuwakuta wanashabikia chama... na kama ukweli huo hautaki, beba hiyo sh.50,000 unioneshe thread ya kuishabikia CCM kama ambavyo wewe huwa unaishibakia CHADEMA ingawaje nafahamu sibanwi na sheria yoyote kumshabikia yeyote so long sijawahi kutangaza kwamba mimi ni CHADEMA!

c.c Invisible
 
Ndio hapo tunapoona umauti wa akili za UVCCM, CHADEMA mnaita saccos lakini kila siku inawalaza hoi mnatumia mabilion ya shilingi kupambana na saccoss? Hahahaha basi hii saccoss ni makini sana, ndio iliyoweza kuwafungua akili walimu, wanafunzi, wafanyabiashara, wakulima, mashehk, maaskofu, madereva juu ya haki zao hatimaye leo hii kila kukicha ni migomo ya kufa mtu, na bado huo ni mwanzo tu mkuu more struggles to come ahead just before hamjatuachia nchi yetu mwezi october.

Kiongozi sina kadi ya chama chochote, Hii CDM bora ife tu, kwani mambo yenu nowdays yanaboa huyo mwenyekiti wenu wa BAVICHA kawa Bubu nowdays ukijumlisha na babu slaa nae kafungwa mdomo, sasa hichi ni chama au NGO???
 
Naweza kukupa kibarua cha kutafuta angalau post moja achilia mbali thread ambayo nimewahi kuikashifu CHADEMA au kuonesha kwamba CCM ndio kila kitu... tafuta na tuwekeane dau mbele ya Invisible, ukipata nakupa TZS 50,000/- hapa hapa!

Ifike tu wakati mkubali kwamba kuna wengine huwezi kuwakuta wanashabikia chama... na kama ukweli huo hautaki, beba hiyo sh.50,000 unioneshe thread ya kuishabikia CCM kama ambavyo wewe huwa unaishibakia CHADEMA ingawaje nafahamu sibanwi na sheria yoyote kumshabikia yeyote so long sijawahi kutangaza kwamba mimi ni CHADEMA!

c.c Invisible

Wewe ndiyo unatakiwa uprove kwamba upo neutral na sio kazi yangu mimi tena, utetezi ni juu yako maana mimi ni mshtaki wako mkuu.

Mkuu rudi tu jukwaa la elimu kule ndio huwa unakuwa kichwa kwa kushusha nondo za maana lakini hili jukwaa la siasa hapana, usilaghai watu upo neutral kitu ambachovsi kweli hata kidogo.

Lastly, hiyo 50,000 mtumie Ludovick kwa Mpesa coz ndiyo price tag yake, kwangu sina shida naz😵VER
 
Kufia CHADEMA chama cha ukombozi ndiyo kuifia nchi, huwezi kuipigania Tanzania bila kwanza kuipigania CHADEMA, Kwa maana kila harakati za kuikomboa Tanzania lazima ziendeshwe in the Name of CHADEMA.

CHADEMA AND TANZANIA ARE INSEPARABLE, WHEN YOU STAND FOR CHADEMA, YOU STAND FOR TANZANIA.

Mkuu sio mkombozi tena ni ukawa badala yake ni chadema.Ndio uzuri wa vyama vingi kila mtu huchagua chama anachopenda kulingana na utashi wake.Na hakika nchi hii lazima tuhakikishe inarudi kwenye misingi kwa kuunga mkono wazalendo si vinginevyo KAMANDA.
 
Kiongozi sina kadi ya chama chochote, Hii CDM bora ife tu, kwani mambo yenu nowdays yanaboa huyo mwenyekiti wenu wa BAVICHA kawa Bubu nowdays ukijumlisha na babu slaa nae kafungwa mdomo, sasa hichi ni chama au NGO???

Mkuu ina maana hata kadi ya CCM ulishachoma moto?
 
Huyu mnyika nae c ni mchagga huyu ana element za kichagga

mara wachaga.mara wakristo, mara kaskazini sasa umepata chama cha dini yako si utulie unatoa siri kwa kila mtu wachaga watakuwepo tu hata akija hitler wivu wa maendeleo na chuki hazitakusaidia wachaga hawajawahi kuongoza hii nchi. Kuna watu wanadanganywa wachaga ndio waliiongoza Tanzania mara baada ya uhuru
 
Mkuu sio mkombozi tena ni ukawa badala yake ni chadema.Ndio uzuri wa vyama vingi kila mtu huchagua chama anachopenda kulingana na utashi wake.Na hakika nchi hii lazima tuhakikishe inarudi kwenye misingi kwa kuunga mkono wazalendo si vinginevyo KAMANDA.

Uzalendo umeupata baada ya Ayatollah kufungushiwa virago mkuu?
 
Kiongozi sina kadi ya chama chochote, Hii CDM bora ife tu, kwani mambo yenu nowdays yanaboa huyo mwenyekiti wenu wa BAVICHA kawa Bubu nowdays ukijumlisha na babu slaa nae kafungwa mdomo, sasa hichi ni chama au NGO???

Mkuu tafuta ofisi ya ACT WAZALENDO uchukue kadi ili tuuirudishe nchi yetu kwenye misingi.KALIBU SANA MZALENDO.
 
Mmechelewa, Mtwara twasubiri kuipokea ACT Wazalendo, Chadema ni chama cha kaskazini

Mbona povu bwana mdogo? pole kwa maumivu.CDM ni jeshi kubwa lililotapakaa Tz yote, huku Mawazo anashambulia, kule Ole Sosopi, kati Lema, Msigwa na Lissu, kiungo yupo Mnyika na Salum Mwalimu.Haki ya Mungu ccm lazima wakae!
 
Uzalendo umeupata baada ya Ayatollah kufungushiwa virago mkuu?

Mkuu sijawahi kujiunga na chama chochote mpaka hapa nipo kuja ona chama kinachonifaa,Lakini mimi ni mfuasi wa UJAMAA tena wa vitendo na sera safi.Pia ni mwiko kwangu siasa zs majitakka na matukio.Kalibu sana ACT WAZALENDO tuirushe nchi kwenye misingi.
 
Mkuu ina maana hata kadi ya CCM ulishachoma moto?

Mimi sijawahi kuwa na kadi ya ccm, what I need opposition parties to be strong and be able to take control of our government...that is what I want
 
Back
Top Bottom