Mnyika kuzindua kanda ya Kusini rasmi

Mnyika kuzindua kanda ya Kusini rasmi

Wana mtwara hawataki ukanda...

Hiyo single ilishabuma kitambo.CDM ndicho chama cha ukombozi wa kweli.Karibu kwenye operation TIGITIGI chini ya kamanda Mawazo, tunazidi kupukutisha magamba kanda ya ziwa.
 
Kweli kabisa nami nipo ukimbini kulishuhudia. Chadema tumeanza na mungu tutamaliza na mungu.
 
Kweli ukawa ni wanafiki na hawana urafiki wa kweli.Kanda ya kusini inajulikana ni ngome ya cuf sasa chadema inafuata nini? kwa staili hii mabadiliko tunayataka lakini sio kwa ukawa.
 
karibu kusini karibu mtama......ccm tumewachoka kamanda mnyika jimbo limeongozwa na wazir wa mambo ya nje ya nchi miaka kumi bila ata maendeleo....madaraja mabovu barabara mbovu zahanati shida shule hazina vifaa korosho wazee wanaibiwa na stakabadh ghalan ahadi za maji ya chiuwe za uongo maji hayatoki yaano daaah, njoo uangalie kituo cha polisi alichogoma kujenga tumemaliza wenyewe
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitakuwa na kikao cha Kanda ya Kusini ambacho hotuba ya ufunguzi itatolewa na NKMB JJ Mnyika, leo kuanzia saa 10.00 asubuhi Ukumbi wa, karibu na Maisha Club. kesho pia atafanya mkutano mkubwa hapo Mtwara Mjini kuanzia saa 8 mchana.
Ziara hiyo ni mwendelezo wa maboresho ya Kanda za Chama ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi Mkuu..

Umeona wapi uhusiano Wa mchaga na mmakonde!.
 
Ziara ya kanda ya Kusini itakuwa inahitimisha ziara za maboresho ya kanda nane za Tanganyika zilizo anza tangu mwezi Februari ikiwa ni azimio la Kamati kuu la kuziboresha kanda nane za kichama za Tanganyika kabla kuelekea Zanzibar na kuboresha kanda mbili za upande wa visiwani.

Vikao vya kanda ya Kusini vitakuwa vitatu.

1. Kikao cha Kamati tendaji ya kanda

2. Kikao cha baraza la uongozi la kanda.

3. Kikao cha wadau wa kanda ya Kusini

Vikao Kama hivyo vimeshafanyika kwenye kanda nyingine saba za Tanganyika ambazo ni.

1. Pwani (DSM na Pwani)

2. Serengeti (Shinyanga, Mara na Simiyu)

3. Kati (Dodoma, Singida na Morogoro)

4. Kaskazini (kilimanjaro , Tanga, Arusha na Manyara)

5. Juu Kusini (Mbeya , Iringa, Njombe, Rukwa na Ruvuma)

6. Victoria (mwanza , Kagera na Geita)

7. Magharibi (Kigoma , Tabora na Katavi ).

Mfumo wetu wa kanda umekuwa mfumo bora wa kuishii sera yetu ya majimbo na falsafa ya ugatuzi wa madaraka (decentralization).

Kila kanda ya kichama imewezeshwa kwa kuwa na makao makuu ya kisasa pamoja na Gari na pikipiki mpya zaidi 50 ili kuwezesha kazi za kisiasa kwenye kanda husika.

Pamoja kamanda!!
 
Kweli ukawa ni wanafiki na hawana urafiki wa kweli.Kanda ya kusini inajulikana ni ngome ya cuf sasa chadema inafuata nini? kwa staili hii mabadiliko tunayataka lakini sio kwa ukawa.
Mkuu kama unahitaji mabadiliko hueezi kuyapata kwingine tofauti na ACT WAZALENDO.Viongozi wanao hubiri yale wanayotenda,Kalibu sana uungane na WAZALENDO.
 
karibu kusini karibu mtama......ccm tumewachoka kamanda mnyika jimbo limeongozwa na wazir wa mambo ya nje ya nchi miaka kumi bila ata maendeleo....madaraja mabovu barabara mbovu zahanati shida shule hazina vifaa korosho wazee wanaibiwa na stakabadh ghalan ahadi za maji ya chiuwe za uongo maji hayatoki yaano daaah, njoo uangalie kituo cha polisi alichogoma kujenga tumemaliza wenyewe
Mkuu rudia kusoma AZIMIO LA MTWARA,lilotolewa na MZALENDO ZZK 31 DESEMBER mwaka uliopita.Ili utambue ni mtu wa aina gani wa kulikomboa taifa hili.
 
Mkuu rudia kusoma AZIMIO LA MTWARA,lilotolewa na MZALENDO ZZK 31 DESEMBER mwaka uliopita.Ili utambue ni mtu wa aina gani wa kulikomboa taifa hili.

Acha kushabikia watu kama Mungu wako wewe.Hivi huoni hata Aibu?

Badala ya kuunga mkono sera za chama wewe kutwa kucha kumshangilia Mungu mtu wa ACT kama Zuzu
 
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitakuwa na kikao cha Kanda ya Kusini ambacho hotuba ya ufunguzi itatolewa na NKMB JJ Mnyika, leo kuanzia saa 10.00 asubuhi Ukumbi wa, karibu na Maisha Club. kesho pia atafanya mkutano mkubwa hapo Mtwara Mjini kuanzia saa 8 mchana.
Ziara hiyo ni mwendelezo wa maboresho ya Kanda za Chama ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi Mkuu..

Mkuu kwani saa 10:00 bado ni asubuhi?
 
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote.Chadema isipoangalia itachukua jimbo la mtei tu.Maana wanaleta siasa za kupanic.
 
Shauri yako gawaogelei ukanda unaojua wewe wa copper belt aaah, tunaongelea kanda kama zilivyo za jeshi la polisi pole sana.
 
Back
Top Bottom