Mnyika kuzindua kanda ya Kusini rasmi

Mnyika kuzindua kanda ya Kusini rasmi

Bora hata hao kuliko wewe na misukule sampuli ya Msalani, Laki si pesa, Lizaboni, Simiyu yetu na buku 7 wote.

Mkuu hiyo safi! Lkn mwambie Ritz amsaidie huyo ndugu yake wa kisiasa Rutash.... arudi Kagera akajenge chama tawala maana majimbo yote hasa la BKB linachukuliwa kwa bei che na UKAWA!
 
Chadema kusini mnjisumbua tuh.

Wamakonde sio wapuuz tuwape kura wachaga.

Kwan kilimanjaro pekee haiwatoshi??

Mmekiua chama wenyewe kwa kuendekeza udini ukanda na ukabila.

Tehe tehe tehe teheee.... wakati mwingine nikisoma jinsi unavyotokwa na mapovu kama mtu aliyemeza sabuni ya MAQ ninabaki kucheka tu.

Hapo Ntwara Njini kwa Wamakonde Chadema tumeshinda Mitaa 15 katika uchaguzi wa mitaa uliofanyika December 2014.

Hadi hapo ni dhahiri kuwa Chadema inakubalika kiasi cha kutosha mikoa ya Kusini na ndioyo maana utaona hakuna Jimbo ama wilaya tuliyoshindwa kuweka wagombea na hakuna jimbo ama wilaya tuliyokosa ushindi huko mikoa ya Kusini.
 
Umemjibu vizuri sana kwa fact...ni fact tu kwenda mbele
 
Back
Top Bottom