ulitoa ushauri wako wakaja na sababu nyepesi dhidi ya hoja zako kubwa, leo wamefwata ushauri wako bado unalalmika, sasa sijui unataka wafanye nini?
Anataka wajikombe kwake na kumpigia magoti.Chadema hakunaga Ayatollah...!!
ulitoa ushauri wako wakaja na sababu nyepesi dhidi ya hoja zako kubwa, leo wamefwata ushauri wako bado unalalmika, sasa sijui unataka wafanye nini?
Ushauri upi? Hoja ni kwamba wasiwe wanadanganya wote wanaposhindwa kutekeleza wajibu wao!ulitoa ushauri wako wakaja na sababu nyepesi dhidi ya hoja zako kubwa, leo wamefwata ushauri wako bado unalalmika, sasa sijui unataka wafanye nini?
Kuna wakati niliwa-criticize CHADEMA humu jamvini kwa tabia yao ya kutotaka kwenda kwenye baadhi ya mikoa halafu wakiimbulia kura mbili, wanachama na mashabiki wao wanaanza kuwakejeli watu wa huko kwamba hawakusoma ndio maana wako nyuma katika "kupigania ukombozi!" huku wakidhani kwamba watu, hususani wa kusini wa kusini ni wapumbavu wanaoweza kumpigia mtu kura kwavile tu wanamsikia!
Katika kujibu shutuma hizo, akatokea mwana-CHADEMA mmoja akasema CHADEMA haijaweka nguvu kusini kwa sababu kule ni ngome ya CUF kwahiyo wasingependa kushindana na mwenza wao! Binafsi niliita huo ni utetezi wa kijinga kabisa usio na maana yoyote! Sasa je, ina maana hii leo huko kusini sio ngome tena ya CUF? Hivi mtaendelea kuwadanganya wanachama na mashabiki wenu hadi lini pale mnapofanya uzembe mnasingizia sababu zisizo na kichwa wala miguu, and very unfortunately na wao wanakubali tu!
ulitoa ushauri wako wakaja na sababu nyepesi dhidi ya hoja zako kubwa, leo wamefwata ushauri wako bado unalalmika, sasa sijui unataka wafanye nini?
Akili hauna wewe mzee... unaweza kusema ni wapi nimeichafua hiyo CHADEMA? By the way, wewe una haki gani ya kuniambia niingie thead ipi na ipi nisiingie? Eti "tutaendelea" wewe na nani? Peleka mbele hu upumbavu wako kama unadhani kila mtu ni mtu wa kushangilia kila kitu, then you're very wrong!
Hawana jipya.walisha waambia ni maskini nawajingaKamanda vipi?.Mbona unaonekana una raha sana,mnaenda kuvunja ngome za CUF kwa mwamvuli wa UKAWA.Mimi nawatakia kila la kheli lakini nchi hii inahitaji WAZALENDO zaidi.Tukimaliza ziara ya mikoa kumi,Tunakuja kaskazini kuhubili uzalendo na kutoa majawabu ya matatizo yanayo ikumba nchi yetu.Watanzania wa sasa ni waelewa huwa wanapima mambo kabla yakufanya uamuzi,Nachowasihi mnadi sera zenu huko mtwara mtawafanyia nini wananchi na mtaunda serikali ya aina gani baada ya kuingia IKULU.Nawatakia kila la kheli MAKAMANDA lkn mkumbuke kutenda yale mnayohubili.
Mzalendo subirini dawa iwaingie chama chetu kimeingia mifupani mwa watanzania, nyie kujaza watu si ajabu kwani hata yamoto band huwa wanajaza watu.
Hamna shida KAMANDA.Mjitahidi tu kunadi sera mtafanikiwa.Lakini mkikalia kusema fulani na fulani nii fisadi,Sijui fulani anatumwa na ccm kamwe hamtofanikiwa.
Haya ndo maelezo yanayotakiwa nashangaa kuna watu wengine badala ya kuleta hoja wanaanza kashifa za kijinga... sijui ni lini watakuja kukubali kwamba haiwezekani wakati wote watu wawe na mawazo yanayofanana na pale unapotoa mawazo tofauti na wao unaanza kukashifiwa!nakumbuka kuna siku ulitoa hoja kama hiyo zamani tulikubaliana kuwa CUF isimame kwenye mikoa ya pwani na chadema isimame kwenye mikoa ya bara.. tukaja kuparanganyika lakini kwasasa tuna makubaliano mapya kuwa kila chama kijijenge lakini kusimamisha mgombea kitasimamisha chama ambacho kina kubalika maeneo hayo....
kuhusu chadema kutokuwepo Mtwara sijui ni kwa kipimo gani maana ikumbukwe baada ya uchaguzi mkuu kwisha chadema ilitangaza kufanya operesheni nchi nzima na kati ya sehemu ambayo ilizaa matunda ni Mtwara ambapo tulitoa elimu kwa wananchi na kujitambua hali iliyopelekea ccm kuzuia siasa mikoa hiyo na kuanza kamata kamata ili kuwatisha wananchi chadema ilipeleka wanasheria wake huko kuhakikisha haki inatendeka kuwa kila mwananchi aliyeonewa anapata haki kwa kumpatia mwanasheria..
View attachment 242221
Hii ni picha ya Godbless Lema akiwa moja ya mikutano iliyofanyika siku chache kabla mikutano ya kisiasa haijapigwa marufuku lakini tunajua ccm walikuwa wanaendelea na siasa...
View attachment 242220
Sehemu ya maelfu ya wananchi wa mji wa Mtwara na vitongoji vyake, wakiwasikiliza viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika mkutano wa hadhara wa M4C (Movement For Change), uliofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mwaka 2012.
Chadema hamtuonei huruma? Huku Lissu na Lema, kule Bavicha, pale Jj mnyika, hapa Mawazo
Wana mtwara hawataki ukanda...
Vipi Njombe leo mmepata sapoti ya CCM kubeba watu na malori??
Na jana Songea mligawa kadi ngapi? Tuanzie hapo...
Kisha tena,Acha porojo wewe mfuasi wa CCM.Subiri dawa ikuingie vizuri.
Mtadata sana mwaka huu CCM na vibaraka wenu!
Hatimae:Unipuuze usinipuuze its none of my business..Kinachokukimbiza kila thread ya CDM kuja kutukuza CCM ni kitu gani? Tutaendelea kuonyesha rangi zako kwa hali yoyote mpaka siku utakapoacha kuhangaika na kuchafua Chadema.
What a nonsense! Sasa kama unaamini mimi ni mwana-CCM huo upuuzi wako kwamba vp nimepata support ya CCM unatoka wapi? Narudia, wewe ni mtu mzima, na usipojifunza kujiheshimu mwenyewe no one will respect you, mpumbavu mkubwa wee!Vipi Njombe leo mmepata sapoti ya CCM kubeba watu na malori??
Na jana Songea mligawa kadi ngapi? Tuanzie hapo...
Mmechelewa, Mtwara twasubiri kuipokea ACT Wazalendo, Chadema ni chama cha kaskazini
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitakuwa na kikao cha Kanda ya Kusini ambacho hotuba ya ufunguzi itatolewa na NKMB JJ Mnyika, leo kuanzia saa 10.00 asubuhi Ukumbi wa, karibu na Maisha Club. kesho pia atafanya mkutano mkubwa hapo Mtwara Mjini kuanzia saa 8 mchana.
Ziara hiyo ni mwendelezo wa maboresho ya Kanda za Chama ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi Mkuu..
Angalia unavyohangaika, mara:
Kisha tena,Hatimae:What a nonsense! Sasa kama unaamini mimi ni mwana-CCM huo upuuzi wako kwamba vp nimepata support ya CCM unatoka wapi? Narudia, wewe ni mtu mzima, na usipojifunza kujiheshimu mwenyewe no one will respect you, mpumbavu mkubwa wee!
Ushauri upi? Hoja ni kwamba wasiwe wanadanganya wote wanaposhindwa kutekeleza wajibu wao!