Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Mnyika is the brightest MP in Tanzania

- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

yani unafananisha hotuba ya Mnyika n Quruan tukufu!??
acha dharau mkuu
cc kahtaan FaizaFoxy Ritz
 
Last edited by a moderator:
We mzee umemwona mh.mama yako anavyochangia?
Nadhani akili zako na zake hazijatofautiana sana.
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System
 
Huwa nafurahi akisimama kuchangia maana makinda kiti kinakuwa cha moto ila pia sijaelewa kwanini wamemkatia muda Olesendeka au kwa sababu alikuwa anawavua nguo?
 
- Weka elimu ya Mnyika kaka wacha longo longo!!

Le Mutuz System

elimu inakuwa na msaada kama unaweza kuunganisha elimu uliyonayo na mazingira

  • nikukumbushe mwenyekiti wa CCM alwahi sema Tanzania imeendelea kwasababu foleni imeongezeka ......................elimu yake ina maana gani
  • wannchi watakula nyasi lakini ndege lazima inunuliwe....................this is akili
  • kwanini wananch wako maskini .............hata mimi sijui
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

we mbona una diploma za kula!
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

Hapana, Mnyika hajasoma Qur'an Mnyika kaisoma hadithi ya Mtume Muhammad Sala Llahu Alayhi Wasalaam tena kachakachuwa, kaongezea maneno ambayo sijawahi kuyasikia kwenye hadithi hiyo. Hadithi yenyewe ni hii:

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ (رضي الله عن&#1607😉 عَنْ النَّبِيِّ (صلى الله عليه و آله وسل&#1605😉: ((آيَةُ الْمُنَافِقِ ثلاَثٌ إِذَا حَدَّثَ كَذَبَ وَإِذَا وَعَدَ أَخْلَفَ وَإِذَا اؤْتُمِنَ خَان&#1614😉) متفق عليه . وفي رواية: ((وَإِنْ صَامَ وَصَلَّى وَزَعَمَ أَنَّهُ مُسْلِم&#1612😉) متفق عليه Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah (رضي الله عن&#1607😉 kwamba Mtume (صلى الله عليه وآله وسلم) amesema: ((Alama za mnafiki ni tatu: anapozungumza husema uongo, anapotoa ahadi hukhalifu (hatimizi), na anapoaminiwa hufanya khiyanaNa katika riwaaya nyingine: ((Hata akifunga na akiswali na akidai kuwa yeye ni Muislamu))
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

Mkuu na wewe --------- kama Mama yako wa kambo? Niliona anapayuka tu bila point eti Same umeme unawaka kila kona. Ukiangalia historia ya Baba yako na Jeetu Patel, then ya mama yako na wewe mnaonekana kituko kwa watanzania. Ni ukoo wenye njaa zaidi Tanzania
 
Willima Malecela a.k.a Le Mutuz System, ninakushauri kiakili kichwani na arguments do not mention Mnyika!!! Nikuhakikishie tu kwa familia yenu nzima ya mzee wenu alizaa na wanawake wote hakuna ndugu yako hata wewe ulipata Div. I ya point 9 O level!!! Kama yupo nisamehe na weka vielelezo hapa!!! Na kwa taarifa yako ni kuwa Mnyika hakukimbia Chuo bali msimamo wake kisiasa ndiyo ulisababisha asimalize shule!!! Mliosoma naye mnakumbuka kilichotokea!! Kwa kuwa wewe Le Mutuz uko at your 50s si rahisi sana kuwa na historia sahihi ya huyu bright mind Mnyika!!! Ni bora unyamaze ili viana wanaomfahamu waseme ukweli. Ninakumbuka kuna thread ya Mnyika aliweka hapa kuhusu Elimu yake nenda kaitafute ili uondokane na childish arguments.
 
Wewe Sasa unatafuta SOKOMOKO NA WENYE DINI YAO! Yaani hotuba ya Mnyika unaifananisha ni QURAN TUKUFU! Kwa maana nyingine Mhe. Mnyika ni sawa Mtume Mohammed SAW?!

Amehamisha ripoti yote ya cag
 
==> Ww Willy...ww kazi yako KUPIGA PICHA NA AKINA ANT. EZEKIEL TU....

==> Willy, what is ur recent BMI...!?? and KGS....

==> Mentally dwarfed......!!!!
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System
ya NBC umeyakimbia hivi hivi, haya sasa ona unavyojitoa ufahamu, hivi kusema alama za mnafiki ni 3 ndo amesa kuruani? umemsikia dada yako Anna Kilango malecela, alitoa hoja yeyote kwenye mchango wake?
 
- Huwezi kuwa bright bungeni huku huna elimu ya shule, ndio maana anasema qurani bungeni badala ya hoja, unasema hiyo ndio brightness? Wewe kweli unaweza kumlingnaisha Mnyika na Muhongo? duh!1

Le Mutuz System

WEWE KUBWA JINGA, UNAWAHAMISHA WATU KWENYE MADA UMEWAPELEKA KWINGINE NA NDO LENGO LAKO, KILA UNACHOKIANDIKA NI KURAN,ELIMU. USIVYOJITAMBUA UNADAI DINI PALE C MAHALA PAKE WAKATI KILA SKU KABLA BUNGE HALIJAANZA INASOMWA DUA, PIA UMESAHAU HATA MIBUNGE MIJINGA MIJINGA YA MACCM KAMA WW HUWA INANUKUU VIFUNGU VYA BIBLIA NA KURAN, LEO MNYIKA KISA NI CDM NDO UNALETA UJING.A WAKO HAPA, kubwa kimwili lakini halina hazina hata ndogo ya busara. KUBWA J.INGA WEWE MS.ENGE KABISA HUNA MAANA.
 
Mimi siku hizi nikitaka kumtukana mtu badala ya kumwambia mjinga wewe!, naona ni tusi kubwa zaidi nikimwita w.j. malecela we!
 
Back
Top Bottom