elimu kitu gani kama ulikuwa mkumu wa kuelewa mwepesi kusau wewe ni kilaza tu..........................- Mimi nina elimu ambayo Mnyika hana kama unabisha weka elimu ya Mnyika hapa wacha longo longo!!
Le Mutuz System
Kwa tafsiri rahisi hujui "ELIMU" ni nini?
sham on you Lemutuz
elimu kitu gani kama ulikuwa mkumu wa kuelewa mwepesi kusau wewe ni kilaza tu..........................
na watu wa namna hiyo hutumia nguvu nyingi kusoma lakini we used to call them vilaza
- Kaka wacha matusi haya una[poteza muda bure weka elimu ya Mnyika hapa wacha taarabu hapa, weka elimu ya mnyika!!
Le Mutuz System
Hata degree hana awe professor?? Mbona unachekesha jamii??!.
wewe na yule Lameck Mkumbo Madelu akili zenu sawa sawa- Unaweza kumlinganisha Gates na Mnyika? Gates ni College drop out ambayo kwa hapa bongo ni sawa na Degeree ya UDSM, ukweli ni kwamba Mnyika hana elimu amekimbia UDSM kama unabisha weka elimu yake hapa!1
Le Mutuz System
Daud Mchambuzi, Mnyika hajaishia la saba,la saba ni kina Lusinde na Maji Marefu wa CCM,Kiakili na intelligence Mnyika ni zaidi ya Miprofesa ya maCCM na mibunge yote ya CCM na hata Upinzani ndio role Model!!!
- Unaweza kumlinganisha Gates na Mnyika? Gates ni College drop out ambayo kwa hapa bongo ni sawa na Degeree ya UDSM, ukweli ni kwamba Mnyika hana elimu amekimbia UDSM kama unabisha weka elimu yake hapa!1
Le Mutuz System
- The bottomline Mnyika hana elimu kama yangu kama unabisha iweke hapa tuone!, mtu mwenye alimu hawezi kusimama ,mbele ya Bunge na kuanza kusoma maneno ya qurani hajui kwamba kila kitu kina mahali pake ndio madhara ya kutokuwa na elimu!!
Le Mutuz System
- Kwa tafsiri ya Juu sana elimu ni ya darasani ili uwe kiongozi unatakiwa kuwa na elimu kuliko unaowaongoza, sasa kama huan ndio unakuwa kama Mn yika unasoma maneno yako badala ya kwenye hotuba ya bajeti ambayo ni makosa makubwa sana!!
Le Mutuz System
- Weka elimu ya Mnyika kaka wacha longo longo!!
Le Mutuz System
- Unaweza kumlinganisha Gates na Mnyika? Gates ni College drop out ambayo kwa hapa bongo ni sawa na Degeree ya UDSM, ukweli ni kwamba Mnyika hana elimu amekimbia UDSM kama unabisha weka elimu yake hapa!1
Le Mutuz System
- Nasema hivi Mnyika hana elimu mshauriini arudi shule then atajua tofauti ya kusoma qurani bungeni masikitini alichofanya leo ni impoossible kuamini ndio madhara ya kutokuwa na elimu!!
Le Mutuz System
- Amesoma qurani tena mara 3 juu ya maneno ya ambayo hayahusu kabisa na Madini na Nishati maana yake ni moja hana elimu ya kutosha, tuwache kuandikia mate na wino upo, wekeni elimu ya mnyika hapa!!
Le Mutuz System