Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Wewe Sasa unatafuta SOKOMOKO NA WENYE DINI YAO! Yaani hotuba ya Mnyika unaifananisha ni QURAN TUKUFU! Kwa maana nyingine Mhe. Mnyika ni sawa Mtume Mohammed SAW?!

Ni zaidi ya huyo.
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

Napata mashaka kama kweli we ni mtoto halali wa Malecela. Akili Huna Hata Busara Pia Huna.
 
WEWE KUBWA JINGA, UNAWAHAMISHA WATU KWENYE MADA UMEWAPELEKA KWINGINE NA NDO LENGO LAKO, KILA UNACHOKIANDIKA NI KURAN,ELIMU. USIVYOJITAMBUA UNADAI DINI PALE C MAHALA PAKE WAKATI KILA SKU KABLA BUNGE HALIJAANZA INASOMWA DUA, PIA UMESAHAU HATA MIBUNGE MIJINGA MIJINGA YA MACCM KAMA WW HUWA INANUKUU VIFUNGU VYA BIBLIA NA KURAN, LEO MNYIKA KISA NI CDM NDO UNALETA UJING.A WAKO HAPA, kubwa kimwili lakini halina hazina hata ndogo ya busara. KUBWA J.INGA WEWE MS.ENGE KABISA HUNA MAANA.

Ningekuwa mimi NISINGERUDIA TENA UJINGA MAANA YAWEZEKANA NI M.P.U.M.B.A.V.U LAKINI NIMEHESHIWA NA KUITWA MJINGA.
Toto la ma Kirango hiloooo limetukanwa.
N O t e D.
 
WEWE KUBWA JINGA, UNAWAHAMISHA WATU KWENYE MADA UMEWAPELEKA KWINGINE NA NDO LENGO LAKO, KILA UNACHOKIANDIKA NI KURAN,ELIMU. USIVYOJITAMBUA UNADAI DINI PALE C MAHALA PAKE WAKATI KILA SKU KABLA BUNGE HALIJAANZA INASOMWA DUA, PIA UMESAHAU HATA MIBUNGE MIJINGA MIJINGA YA MACCM KAMA WW HUWA INANUKUU VIFUNGU VYA BIBLIA NA KURAN, LEO MNYIKA KISA NI CDM NDO UNALETA UJING.A WAKO HAPA, kubwa kimwili lakini halina hazina hata ndogo ya busara. KUBWA J.INGA WEWE MS.ENGE KABISA HUNA MAANA.

Wengi walisema kama wewe ila hawakufanikiwa kumbadilisha huyu kiazi
 
Wengi walisema kama wewe ila hawakufanikiwa kumbadilisha huyu kiazi

Kiazi ni afadhari kinaweza kaangwa, pikwa, chemshwa, liwa mavi yakawa mbolea. Huyo jamaa ni condomo-haiwezi ikabadilishwa matumizi ikishatumika.
 
Wewe Sasa unatafuta SOKOMOKO NA WENYE DINI YAO! Yaani hotuba ya Mnyika unaifananisha ni QURAN TUKUFU! Kwa maana nyingine Mhe. Mnyika ni sawa Mtume Mohammed SAW?!

Tafadhali hatutaki utani kwa Mitume wa Mwenyeezi Mungu iwe Muhammad Sala Llahu Alayhi Wasalaam iwe Yesu Alayhi Salaam, iwe mwingine yeyote yule. W. J. Malecela hajaelewa kuwa ile ilikuwa si Qur'an ile ni hadithi na tumeshamfahamisha hilo kuwa hata hiyo hadithi Mnyika kaichakachuwa na kaongezea maneno ambayo mimi sijawahi kuyasoma kwenye hiyo hadithi, na niijuwayo nimeibandika humuhumu kwenye nyuzi hii wakati namfahamisha baharia kuhusu hilo..

Kwa hiyo tunakuomba tafadhali sana amma uongee vitu vinavyoeleweka lakini utani kwenye mambo hayo hatutaki.
 
Hivi akili si ni uwezo wa kujadili kiasilia (being factual and realistic) umeshaambiwa watu awana uwezo wa kuwekeza, umepewa numbers on what it takes, angetakiwa sasa kuchanganua hizo namba na kutetea hoja zake za wazawa kuwezeshwa maana policy ya serikari hipo clear. Sio hizi hadithi zenu za serikari iliahidi kufanya hivi and that leta solution sio lawama hela itoke wapi? na kama ipo why shouldn't the government be the sole owner kwa niaba ya watanzania ikawape watu wachache.

Dogo anatumika vibaya hii mara ya pili sasa, naanza kujiuliza hivi tulikuwa vilaza sana huko nyuma mpaka huyu jamaa aongoze matokeo ya mkoa.
 
wanaomponda wanasema hajasoma (hana vyeti) lakini huwa nikimwangalia anavyowakilisha hoja zake basi najisemea moyoni kuwa kama 'wasiosoma' wako hivi basi nami ningelijua nisingesoma ili niwe na uwezo kama wake! Na dendapo atashinda kikwazo cha unafiki na fitina za siasa za Tanzania basi ataisaidia sana na zaidi nchi hii huko tuendako!
 
yani unafananisha hotuba ya Mnyika n Quruan tukufu!??
acha dharau mkuu
cc kahtaan FaizaFoxy Ritz

Tafadhali tafuta ya kuongea, W. J. Malecela hakuifananisha hotuba na Qur'an, tafadhali hatupendi utani katika Qur'an. Na hiki ndicho tulichomueleza baharia:

Hapana, Mnyika hajasoma Qur'an Mnyika kaisoma hadithi ya Mtume Muhammad Sala Llahu Aleyhi Wasalaam tena kachakachuwa, kaongezea maneno ambayo sijawahi kuyasikia kwenye hadithi hiyo. Hadithi yenyewe ni hii:

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ (رضي الله عن&#1607😉 عَنْ النَّبِيِّ (صلى الله عليه و آله وسل&#1605😉: ((آيَةُ الْمُنَافِقِ ثلاَثٌ إِذَا حَدَّثَ كَذَبَ وَإِذَا وَعَدَ أَخْلَفَ وَإِذَا اؤْتُمِنَ خَان&#1614😉) متفق عليه . وفي رواية: ((وَإِنْ صَامَ وَصَلَّى وَزَعَمَ أَنَّهُ مُسْلِم&#1612😉) متفق عليه Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayrah (رضي الله عن&#1607😉 kwamba Mtume (صلى الله عليه وآله وسلم) amesema: ((Alama za mnafiki ni tatu: anapozungumza husema uongo, anapotoa ahadi hukhalifu (hatimizi), na anapoaminiwa hufanya khiyanaNa katika riwaaya nyingine: ((Hata akifunga na akiswali na akidai kuwa yeye ni Muislamu))
 
Back
Top Bottom