Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Mnyika is the brightest MP in Tanzania

- Kwa sababu siwezi kusoma qurani mbele ya bunge upo sawa sana!1

Le Mutuz system

Le Mutuz, achana na hawa jamaa tuhame hili jukwaa twende lile la mwisho la chini kabisa kuna Mabebez wa ukweli...

tunaweza tukatoa vitu huko tukapeleka kule blog ya wananchi...
 
Unaweza ukawa mtu mzima lkn usiheshimiwe na watoto,na hii yote kwa kuwa wewe mwenyewe haujiheshimu.
Naomba nisaidiwe kwa nini mijitu inayo jipendekeza na iliyopo sisiemu huwa haiwezi kujenga hoja na hukimbilia kutukana?

Dahh kweli majanga yaani ni zaidi ya umevurugwa,hivi kweli unaweza kuita hotuba ni sawa na Qur an!
hii ni dalili ya ugonjwa,hata kama ni mapenzi bro hii imepitiliza sasa.

- Mnyika amerudia mara 3 kusoma qurani bungeni unless hukusikiliza ni dalili za kutokuwa na elimu!!

Le Mutuz System
 
- Huwezi kuwa bright bungeni huku huna elimu ya shule, ndio maana anasema qurani bungeni badala ya hoja, unasema hiyo ndio brightness? Wewe kweli unaweza kumlingnaisha Mnyika na Muhongo? duh!1

Le Mutuz System

Kwanini unazalilisha kitabu kitukufu...??
 
- Huwezi kuwa bright bungeni huku huna elimu ya shule, ndio maana anasema qurani bungeni badala ya hoja, unasema hiyo ndio brightness? Wewe kweli unaweza kumlingnaisha Mnyika na Muhongo? duh!1

Le Mutuz System

Mkuu, sijamlinganisha Mnyika na Muhongo!! Give me a break! Nimelinganisha na wewe!!
Mnyika hamwezi Prof. kwa nyanja zote! Ninamjua Muhongo kuliko unavyomjua!
 
Acha ujinga wewe, baba yako alikuwa na elimu? Mama zako wote walikuwa na elimu, wewe unatembelea nyota ya ufisadi tu, ila wewe huna lolote kabisa, watu wakiongea wewe kaaa kimya

- Mimi nina elimu ambayo Mnyika hana kama unabisha weka elimu ya Mnyika hapa wacha longo longo!!

Le Mutuz System
 
Professor kawachapa kweli kweli mkuu. Naona wamepanga safu ya CCM wanachangia sasa hivi ni mipasho hakuna point yoyote ya kuhoji cha maana.

Mipasho tuuuu sana sana yule mp. Wa mtera livingstone lusinde whats wrong wit dis guy!!
 
sasa Mnyika alisoma qur'an au hotuba,acha kugusa iman zetu???

- Amesoma qurani tena mara 3 juu ya maneno ya ambayo hayahusu kabisa na Madini na Nishati maana yake ni moja hana elimu ya kutosha, tuwache kuandikia mate na wino upo, wekeni elimu ya mnyika hapa!!

Le Mutuz System
 
- Hebu weka elimu ya mnyika hapa wacha longo longo!!

Le Mutuz System

Ndio utalinganisha na elimu yako ya Ubaharia na kuolewa na mwanamke wa kizungu??? Rudia familia yako huko ughaibuni labda itakusaidia kwani uzee unakunyemelea na Tingatinga kaondolewa kwenye mfumo familia wa CCM. Kabaki Bi. Mdogo K.M na sijui kama atakusaidia kwani hakujui......
 
Rich Pol Unaelewa nini kuhusu Prof?

Mbona tuna Dr wengi hata kuandika hotuba hawajui mpaka waandikiwe then wakariri

Mnyika hafanani kwa uwezo na kiongozi yeyote yule CCM

Kwanza just imagine je angekuwa ana degree kama Pinda au Prof Mhongo je angekuaje? Kama prof hamnazo ni bora Myika ndo awe Prof.

Lakini kwa upande mwingine m nadhani mazingira yanamfanya mtu aweze kuwaza vile. Kwa mfano Prof wote walio CCM akili zao huwa wanaziweka likizo lakini naamini wakitoka tu watalitendea Taifa letu iwapasavyo
 
Ndio utalinganisha na elimu yako ya Ubaharia na kuolewa na mwanamke wa kizungu??? Rudia familia yako huko ughaibuni labda itakusaidia kwani uzee unakunyemelea na Tingatinga kaondolewa kwenye mfumo familia wa CCM. Kabaki Bi. Mdogo K.M na sijui kama atakusaidia kwani hakujui......

- Kaka wacha matusi haya una[poteza muda bure weka elimu ya Mnyika hapa wacha taarabu hapa, weka elimu ya mnyika!!

Le Mutuz System
 
Ole sendeka naye anafanya yake mjengoni haungi mkono hoja anataka kamati ifatilie mikataba ya uibaji wa maliasili na mikataba ya gas na madini.
 
- Huwezi kuwa bright bungeni huku huna elimu ya shule, ndio maana anasema qurani bungeni badala ya hoja, unasema hiyo ndio brightness? Wewe kweli unaweza kumlingnaisha Mnyika na Muhongo? duh!1

Le Mutuz System

Bill Gates sio bright? Mnyika kusoma UDSM na kuacha kuna tofauti gani na Gates? Wewe una uwezo wa kujenga hoja walau robo ya Mnyika? Unadhani tumesahau siku ile bungeni ulivyokuwa hueleweki unatia aibu tu?:der:
 
- Unaweza kumlinganisha Gates na Mnyika? Gates ni College drop out ambayo kwa hapa bongo ni sawa na Degeree ya UDSM, ukweli ni kwamba Mnyika hana elimu amekimbia UDSM kama unabisha weka elimu yake hapa!1

Le Mutuz System
 
Back
Top Bottom