Tatizo watanzania mnapenda ushabiki...mambo ya msingi hamyataki, Kuwa na MP kama mnyika watanzania tujivunie, ili yale maovu na ufisadi yafichuke.. Leo hii nashakaa kijana wa kitanzania huyaoni yaliyomabaya na mazuri.. Jaman tumelogwa na nani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.