Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Ni lini au wapi kuna account ya escrow kwenye report ya CAG?
Au huji kuwa ndio sasa CAG anatakiwa kuichunguza Escrow?
Ficha ukilaza mkuu.
Amehamisha ripoti yote ya cag
 
Jamani kwa waliofuatilia hotuba ya kambi rasmi ya upinzani mtakubaliana na mimi kuwa John Mnyika is the best Mp.
Hotuba ya kurasa 119,zilizosheheni hoja kali ni record.
Ni kweli kaka yupo vizuri ila mi kinachonikera ni unafiki uliopitiliza wa other MP's..!
 
Hata degree hana awe professor?? Mbona unachekesha jamii??!.
Kwani shemeji wako wa magogoni anapoitwa Dr katetea thesis ipi? Katoka na theory gani? Ana Masters ya nini? Alidefend hiyo Phd yake mbele ya Madr wangapi? Hebu tupe title ya thesis yake!!!
 
Jamani kwa waliofuatilia hotuba ya kambi rasmi ya upinzani mtakubaliana na mimi kuwa John Mnyika is the best Mp.
Hotuba ya kurasa 119,zilizosheheni hoja kali ni record.

Hapana, mimi naona kahororoja sana na kupiga kelele zisizo na mpango, kama wale wachungaji wanaotafuta "wajinga ndio waliwao".

Ngoja Mhongo atapokuja zipanguwa kelele za Mnyika ndiyo utajuwa nini maana ya kichwa.
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

Nawewe karudi kwenye meli, ubaharia ndiyo unauweza na siyo ukada. Unazidi kukiharibu chama Le Mutuz le Baharia.
 
Mkuu Anna Kilango ni mama yake na sio dada yake.
Inasemekana ni First Lady msahaulika.
ya NBC umeyakimbia hivi hivi, haya sasa ona unavyojitoa ufahamu, hivi kusema alama za mnafiki ni 3 ndo amesa kuruani? umemsikia dada yako Anna Kilango malecela, alitoa hoja yeyote kwenye mchango wake?
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

Umekurupuka mzee Mnyika hajasoma Qur an, ila amesoma Hadith hata hivyo, hadith yenyewe hajaisoma inavyotakiwa amechakachua.
 
Hata degree hana awe professor?? Mbona unachekesha jamii??!.

Wewe ni KILAZA tu tangu uzaliwe haujawahi hata kupata A moja. Mnyika ana uwezo wa kuwa professor na sio le professor wa kawaida bali wale wanaoweza kuleta IMPACT kubwa kwenye jamiii.
 
Weka elimu ya Gates hapa kabla hajagundua vitu ambavyo maprofesa wa toka enzi za Newton hawakugundua...........alafu kwa taarifa yako mleta mada amesema Mnyika ni very bright na according to Cambridge Dictionary Bright Person is a person who is intelligent, and full of energy and enthusiasm . Hakuna mahali wamehusisha elimu na mtu kuwa Bright.......

Acha siasa zako za kishamba :der:
kubwa jinga linadhani kuwa intelligent ni kuwa intellectual
 
Wewe ni KILAZA tu tangu uzaliwe haujawahi hata kupata A moja. Mnyika ana uwezo wa kuwa professor na sio le professor wa kawaida bali wale wanaoweza kuleta IMPACT kubwa kwenye jamiii.
Hapo CHADEMA ni Mnyika tu ana akili timamu kidogo. Lakini Mbowe anavyompelekesha sijui kama atadumu kwenye utimamu wake.
 
Kwa nini isiwezekane mkuu?? Kuna Honorary Professors kibao! Google utapata tu!

Hakuna kitu! Hivi chadema msomi ni nani pale?? Maana kwa kumbukumbu yangu wameshajiuzuru na wengine mmewafukuza kwa kuhoji matumizi, ni nani pale anaweza kusimama UN na kutoa speech???!.
 
Daud Mchambuzi, Mnyika hajaishia la saba,la saba ni kina Lusinde na Maji Marefu wa CCM,Kiakili na intelligence Mnyika ni zaidi ya Miprofesa ya maCCM na mibunge yote ya CCM na hata Upinzani ndio role Model!!!

Mnyika aliscore A 12 form four! Hizo ni zaidi ya PhD za Magufuli na Mwakyembe, ambazo zinasema uongo daima.....
 
Kiazi ni afadhari kinaweza kaangwa, pikwa, chemshwa, liwa mavi yakawa mbolea. Huyo jamaa ni condomo-haiwezi ikabadilishwa matumizi ikishatumika.

kweli mkuu, asante kwa kunielewesha kwamba huyu jamaa ni condo.m haina kazi baada ya matumizi.
 
Wewe ni KILAZA tu tangu uzaliwe haujawahi hata kupata A moja. Mnyika ana uwezo wa kuwa professor na sio le professor wa kawaida bali wale wanaoweza kuleta IMPACT kubwa kwenye jamiii.

Mimi usinilinganishe na mgomba wowote hapo ufipa, kama ni professor kama prof J sawa kwahiyo na yeye ni prof wa mipasho??!.
 
Hapana, mimi naona kahororoja sana na kupiga kelele zisizo na mpango, kama wale wachungaji wanaotafuta "wajinga ndio waliwao".

Ngoja Mhongo atapokuja zipanguwa kelele za Mnyika ndiyo utajuwa nini maana ya kichwa.

Napita tu!
 
Back
Top Bottom