Mkuu anapaswa kuitwa Professor Mnyika na si vinginevyo
Mnyika ni sawa na Wabunge 100 wa CCM.
Hata degree hana awe professor?? Mbona unachekesha jamii??!.
Mkuu anapaswa kuitwa Professor Mnyika na si vinginevyo
Mkuu, ni heshima tu kama ile ya Mkulu wa kaya , au ile ya prof jay, Dr. Camilion, Dr,Cheni......................................................................................................................Hata degree hana awe professor?? Mbona unachekesha jamii??!.
Jamani kwa waliofuatilia hotuba ya kambi rasmi ya upinzani mtakubaliana na mimi kuwa John Mnyika is the best Mp.
Hotuba ya kurasa 119,zilizosheheni hoja kali ni record.
Mnyika na cheti chake cha la darasa la saba ni ziadi na maprofesa 800 wa CCM kwasababu once unajiunga na CCM akili yote unaiacha chooni.
Mwenyekiti wa CCM PHD alisomea wapi kwanza ana degree ya passHata degree hana awe professor?? Mbona unachekesha jamii??!.
Mnyika ni sawa na Zitto 20
Wewe hiyo Diploma yako ya meli imekusaidia nini? wakati hata kuvua kambale kwenye tope huwezi- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1
Le Mutuz System
Le Mutuz System
Jumlisha na hao maprofessor na maDr wote wa CCM ndio unapata angalau robo ya akili ya MnyikaMnyika ni sawa na Zitto 20
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1
Le Mutuz System
Le Mutuz System