William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Mkuu, ni kweli kabisa, Mnyika hana Elimu (Vyeti) kama vyako. Lakini ni Bright kukuzidi, na alipata A za kutosha Form Four ambazo wengi wetu hatuna uwezo huo.
Mbona watu hawataki ukweli>>
- Huwezi kuwa bright bungeni huku huna elimu ya shule, ndio maana anasema qurani bungeni badala ya hoja, unasema hiyo ndio brightness? Wewe kweli unaweza kumlingnaisha Mnyika na Muhongo? duh!1
Le Mutuz System