Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,293
sure ila ujimwambie mtu.
Sawa kiongozi napiga kimya tu, kwani akisikia nimesema na anavyojua kuchamba na mipasho, mbona nitakoma!!!
sure ila ujimwambie mtu.
Jamani kwa waliofuatilia hotuba ya kambi rasmi ya upinzani mtakubaliana na mimi kuwa John Mnyika is the best Mp.
Hotuba ya kurasa 119,zilizosheheni hoja kali ni record.
Hivi ww unajua maana ya professor,au unadakia kitu usichokijua.Mnyika hata degree hana,hata ile ya kwanza yaani,ileya sheria aliyosomea hakupata,sasa leo unaposema aitwe professor umetumia kigezo gani.
cha kushangaza alikuwa asomi wabunge wakalalamika asomi akaanza kusoma, na alivyo soma ikawa ni sawa na alivyokuwa asomi!!! hutuba yote ilikuwa kichwani!!
- Mkuu ninasema hivi Mnyika hana elimu kama yangu unabisha iweke hapa!!
Le Mutuz System
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1
Le Mutuz System
Le Mutuz System
mbona hao kawaida yao kwa taarabu mara dk 1o zimeisha. waache tutasema nao 2o15Professor kawachapa kweli kweli mkuu. Naona wamepanga safu ya CCM wanachangia sasa hivi ni mipasho hakuna point yoyote ya kuhoji cha maana.
- Mnyika hana elimu niliyonayo u know that kama unabisha weka elimu yake hapa wacha maneno matupu weka elimu ya mnyika, wenzake wanawakilisha bajeti badala ya waziri kivuli badala ya kuleta bajeti mbadala analeta maneno ya mtaani, chezeya Muhongo wewe!1
Le Mutuz System
Mnyika kafika kidato cha sita tambaza. F4 alipata div one. Matokeo ya f6 hayaonekani. Udsm alikuwa anasoma certificate na sijui kama amemaliza. Issue kubwa hapa ni uwezo wake wa kujenga hoja ni mkubwa na ana shine. Mfumo tulionao ndio unaharibu mambo. Hotuba zote zinatakiwa ktk kamati kama provisional ili hoja zijibiwe kabla.
Majimarefu pia ni profesa kama alivyo prof.Muhongo na Tibaijuka.
poor!!! udsm awatoi course ngazi ya certificate tuulize tulio soma udsm swne mkubwa!!!!!
Definitely huwezi mlinganisha na hizo nyumbu za ccm
Kwa Mnyika hata huyo JK anasubiri
- comonsense ya kusoma qurani bungeni? are you kidding me or what?
Le Mutuz System
Mnyika ni sawa na Wabunge 100 wa CCM.
Hata degree hana awe professor?? Mbona unachekesha jamii??!.
- Mimi nina elimu ambayo Mnyika hana kama unabisha weka elimu ya Mnyika hapa wacha longo longo!!
Le Mutuz System
Mnyika no darasa LA 14 aka form 6 jamaa amebarikiwa kuongea kama yuko debate na pia no Moja ya wabunge Wa upepo ambao CDm ilipata na wameshindwa kufanyakazi ya uwakilishi. 2015 harudi bungeni.