- Mkuu ninasema hivi Mnyika hana elimu kama yangu unabisha iweke hapa!!
Le Mutuz System
Lol pole yako Mzee.....Unajisifia kuwa na 'cheti'? hiyo elimu unayofikiri unayo imekusaidia nini wewe binafsi,mkeo na wanao kama unao,jamii inayokuzunguka,kijijini kwako nk............whats the impact of ur education in your life?...Hivi ukiongea au kuchangia hoja fulani mtu anaweza kuhisi hata kwa mbaaali kwamba 'huyu' aweza kuwa msomi hivi...Le Mutuz?!!!!lol..