Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Mnyika is the brightest MP in Tanzania

- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

Acha kukashifu kitabu kitakatifu wewe!! Mzee mzima hana busara! Kazi kuvaa mapensi nyanya kama mtoto,mvi mpaka miguuni!
 
Mnyika na cheti chake cha darasa la saba ni zaidi ya maprofesa 800 wa CCM kwasababu once unajiunga na CCM akili yote unaiacha chooni.


Mkuu umekosea kidogo, once unajiunga na ccm level yako ya elimu inakua ndio ujinga wako!! Yaani kama ni prof, utakuwa ndio prof wa ujinga. Mfano angalia Mwongo, waziri wa nishati. Dr. Mwakyembe waziri wa uchukuzi. Level ya elimu yao imegeuzwa kua level ya ujinga wao. Mfano mwingine, level ndogo ya elimu ya Ole sendeka at leat imegeuza kua ujinga mdogo kuliko hao niliwataja, ni form six failure!! Sijui mmenielewa, ccm ukitaka kushine ingia ukiwa mbumbumbu then utakua ndi mwenye kusheshimika kuliko wote.
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

Wewe kubwa jinga hata upewe miaka mia uwezi kumfika Mnyika, kwa jambo lolote lile la maana, may be kuvaa vipedo!!!!
 
Hivi elimu ni nini? Mnyika ana elimu kubwa sana kwa tafsiri yangu ya elimu, elimu sio vyeti tu! Vyeti ni indicator tu, is not everything

Vyeti vya chenge , Dr. Idrisa, Mwuongo, Mwakeyembe vimeifaa nini nchi ya tanzania? Wizi na ufisadi mtupu, sasa elimu iko wapi hapo? Tutafute defn kamilifu ya elimu, otherwise kipimo cha elimu cha ccm ambacho waziri wa fedha anasona phd akiwa kazini, lukuvi amesoma masters akiwa kazini, nchinmbi amesoma phd akiwa kazini.... ndio mnaita elimu hizo??? Watu wanakaa kwenye bar na guest houses wanashinda PHDs, this is stupid education. Acheni ujinga na kujifariji kwa kutumia veyeti.
 
We we weee ishia hapo hapo. Hapa niko jimbo la huyo dogo. Ni wiki imepita hakuna maji.

Naijutia kura yangu kwa mnyika.

Serikali iliyopo madarakani inatakiwa kuhakikisha wananchi walioipa ushindi wa kishindo 2010 na kuwa na Rais na mawaziri wanawapatia wananchi maji
 
Mamdenyi unaheshimika nadhani hapa umeteleza, Mnyika hana hela, hela ziko serikali ya ccm kwahiyo kama hakuna maji ujue ni ccm hiyo

Sasa alitoa ahadi ya nini wakati wa kampeni yake? Na wenzake mbona wanatatua matatizo ya majimbo yao? Kuna haja gani ya Kuwa na mbunge kama hana nguvu jimboni kwake anategemea serikali?
 
Mnyika amechaguliwa kwa KURA NYINGI kuliko mbunge yeyote Mle Bungeni. Idadi ya kura zake ni sawa na idadi ya kura za Majimbo 30 ya Zanzibar zikiwekwa pamoja. Nape Nauye alijaribu kuwania Jimbo la Mnyika lakini akagharagazwa raundi za Mwanzo za Ma CCM wenzake. MNYIKA.....Hoja zake ni nzito..... Umahiri wake wa kujenga hoja na kutumia takwimu unasadifu wingi wa kura zake (na wapiga kura anaowawakilisha). Hata Anne makinda humsifu mara kwa mara kuwa ni mfuataji mzuri wa kanuni za Bunge. Siyo siri wabunge wengi, hasa wa CCM wanatamani kuwa kama JM ila wanashindwa.

mnadanganyana sana! Mnyika bila Kikwete asingepata ubunge, hela ya kampeni alipewa na Kikwete kwakuwa kundi lake walikuwa hawamtaki mgombea wa ccm ambaye aliingizwa kwa shinikizo la EL, rais anahuruma sana ila awesaidia wengi sana ni pamoja na Mbatia, ila shukrani hakuna, mwakani mnyika hapati ubunge atabaki kama slaa.
 
- Mnyika hana elimu kama yangu mimi sikukimbia Degree kama Mnyika, kama unabisha weka elimu yake hapa tuone ukweli, anajibiwa ujinga wake anakimbia bunge ebo si ulikimbia shule mwenyewe!!

Le Mutuz System
Wewe elimu haikukusaidia maana HUJAELIMIKA ni sawa na mtoto wa Division V.Halina ubishi Mnyika is the BEST anawakilisha watanzania wote siyo ubungo pekee.Unajua mnyika ndiye alitoa hoja bajeti za wizara kwanza zipitiwe ndiyo ije kuu ya waziri wa fedha?
 
Hivi ww unajua maana ya professor,au unadakia kitu usichokijua.Mnyika hata degree hana,hata ile ya kwanza yaani,ileya sheria aliyosomea hakupata,sasa leo unaposema aitwe professor umetumia kigezo gani.

kwan hao ma profesor unao wa abudu wewe wana lisaidia vp taifa zaid ya matumbo yao kujaa,kina mulongo na wengne wote ndan ya ccm wamekua vilaza watupu,mbulula wewe ma profesar waliobeba maslah ya chama na serekal fisad hatuwahtaji tanzania bora tuwe na watu type Mnyika wazalendo kwa taifa.
 
Mnyika no darasa LA 14 aka form 6 jamaa amebarikiwa kuongea kama yuko debate na pia no Moja ya wabunge Wa upepo ambao CDm ilipata na wameshindwa kufanyakazi ya uwakilishi. 2015 harudi bungeni.
 
Mzee Songambele ni mmatumbi kutoka Songea na alikuwa akiiendesha tipper wakati huo, Mie natokea sikonge na wangoni ni wanetu! ila jina tu!

Mkuu kuna mzee mmoja akiitwa Songambele, kipindi cha awamu ya kwanza, alikuwa teksi dereva kabla ya uhuru na baada ya uhuru akawa mkuu wa mkoa wa Daressalaam. Je mnaujamaa?
 
This guy is annoying, what is your qualifications by the way. Can you put your cv first before requesting Mnyika's. I hate this kind of people. I doubt if you ever been to school I wish I new you,
 
William Jumanne Malecela...Mnyika humfikii hata 1/9 ya uwezo alionao.......Wewe saizi yako ni mabebs wa Ukweli...kina wema sepetu..kina Kajala Masanja...kina Flora Mbuta....Kina Lulu Michael..Kina Aunt Ezekiel na wengine.....

Sana sana labda ujue kuwa kwa elimu yako ya ubaharia hata humfikii mnyika hata kama asingeenda darasa hata moja

Kwani si nasikia ameingilia shughuli ya asili waliopewa hao mabebs wa ukweli? Na taarifa zilizopo ni kwamba muhusika mkuu ni Bulembo!
 
Back
Top Bottom