Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Mnyika is the brightest MP in Tanzania

Hapo ndipo wanaponishangaza hawa mashabiki wa magwanda kwa kushabikia upuuzi kweli Mnyika na maprof!hii hatari kwa akili hizi wataishia kupaona tu magogoni acha elimu iitwe elimu

KIKWETE ana elimu gani iliyompeleka pale. Acha upuuzi wewe!
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

Wasubiri wale wa suruali fupi wanakuja!
 
Mwakani harudi bungeni baada ya Oktoba 28; ubungo tunaangaika ahadi zake zote alizoaidi hakuna hata moja alioitekeleza!

ccm wametawala jimbo la ubungo nearly 45 years, wamefanya nn? Hii miaka 4 ya Mnyika ndy aweze kufanya kila kitu?
Pamoja ni effort anaofanya ujue anahujumiwa na maccm kupitia halmashauri ili aonekane kashindwa.
 
Jamani kwa waliofuatilia hotuba ya kambi rasmi ya upinzani mtakubaliana na mimi kuwa John Mnyika is the best Mp.
Hotuba ya kurasa 119,zilizosheheni hoja kali ni record.

We we weee ishia hapo hapo. Hapa niko jimbo la huyo dogo. Ni wiki imepita hakuna maji.

Naijutia kura yangu kwa mnyika.
 
- Huwezi kuwa bright bungeni huku huna elimu ya shule, ndio maana anasema qurani bungeni badala ya hoja, unasema hiyo ndio brightness? Wewe kweli unaweza kumlingnaisha Mnyika na Muhongo? duh!1

Le Mutuz System

Wewe acha upuuzi wako.
Wewe huna Elimu yoyote zaidi ya kuunga unga na kubebwa bebwa na System kama Dadaako wa NIMRI.
Wewe hauwezi kujilinganisha na Mnyika.
Wewe Level yako ni akina Wolper,Wema Sepetu,Kidoti etc etc
 
I cant go on urging with idiot before he drugs me to his low level and beat me with experience!
- Mnyika hana elimu kama yangu mimi sikukimbia Degree kama Mnyika, kama unabisha weka elimu yake hapa tuone ukweli, anajibiwa ujinga wake anakimbia bunge ebo si ulikimbia shule mwenyewe!!

Le Mutuz System
 
Hivi kwa nini le mutuz kila wakati kwenye mada hii anasema habari za elimu ya Mnyika, atupe elimu yake yeye kwanza kuanzia kidato cha nne na cha sita halafu tulinganishe na cha mnyika
 
We we weee ishia hapo hapo. Hapa niko jimbo la huyo dogo. Ni wiki imepita hakuna maji.

Naijutia kura yangu kwa mnyika.

Hata aibu huna. Nenda wizara ya maji ukachote.
Kodi wanakusanya huduma hakuna. Ufisadi hela za World Bank
 
Mnyika ni sawa na Wabunge 100 wa CCM.

Mnyika amechaguliwa kwa KURA NYINGI kuliko mbunge yeyote Mle Bungeni. Idadi ya kura zake ni sawa na idadi ya kura za Majimbo 30 ya Zanzibar zikiwekwa pamoja. Nape Nauye alijaribu kuwania Jimbo la Mnyika lakini akagharagazwa raundi za Mwanzo za Ma CCM wenzake. MNYIKA.....Hoja zake ni nzito..... Umahiri wake wa kujenga hoja na kutumia takwimu unasadifu wingi wa kura zake (na wapiga kura anaowawakilisha). Hata Anne makinda humsifu mara kwa mara kuwa ni mfuataji mzuri wa kanuni za Bunge. Siyo siri wabunge wengi, hasa wa CCM wanatamani kuwa kama JM ila wanashindwa.
 
Hahaha...hata Sadifa eti ana Master Degree.
Mnyika ni zaidi ya wanachama wooooote wa CCM.

Haaah! Haaah! Mnyika hatamsahau prof Mhongo, kesho atayauza makaratasi yake kwa wa mama wauza vitumbua.
 
We kubwa jinga kweli, umeambiwa ni bright sio msomi
 
- Huwezi kupata zero ukaishia kuwa na Degree 3, Mnyika hana hata moja sasa wewe utamlingnisha na mimi how?

Le Mutuz System

We kubwa jinga kweli, umeambiwa ni bright hujaambiwa ana degree kadhaa. Huo wivu wa kijinga
 
ni kweli haswa ukimlinganisha na akina SUGU,LEMA,MBOWE and the puppets.......... yah.. haswa unapomlinganisha na wafuasi wa cdm kama nyie. kwetu sisi huyy mnyika ni loser na tutalithibitisha hilo 2015
Tupe na cv za profesa maji marefu,madiwani wa ccm ubungo,Asha bakari aka kuufyata,na vicky kamata kisha tutalinganisha kati ya kusoma na kuelimika
 
We we weee ishia hapo hapo. Hapa niko jimbo la huyo dogo. Ni wiki imepita hakuna maji.

Naijutia kura yangu kwa mnyika.

Mamdenyi unaheshimika nadhani hapa umeteleza, Mnyika hana hela, hela ziko serikali ya ccm kwahiyo kama hakuna maji ujue ni ccm hiyo
 
Elimu yako ni ya chabo tu na kununuliwa mitihani wala hudeserve kujisifu.
 
- Yaani kwa kusoma Qurani kwenye mjadala wa Nishati na Madini ndio anakuwa the best MP? ha! ha! ha! ha!, ungemshauri arudi UDSM akamalizie ile Degree aliyoikimbia!1

Le Mutuz System

Le Mutuz System

Wewe dingi kiboko yako ni Ben tuu!!:smile-big:
 
Back
Top Bottom