Mnyika, Balille, Rostam Aziz na kisa cha sms!

Hivi RA alipokwenda kumtongoza ajiunge na CCM unafahamu walikuwa wana uhusianio wa namna gani? Mnyika amesema aende mahakamani, sasa nani analalamika?

Dua,

Mahakama ya mwanasiasa ni wananchi. Tutajua mwaka 2010 kama hiyo style ya Mnyika inafanya kazi au la. Pia tutajua mwaka 2010 kama wananchi wanaamini anachosema RA au wanamwona fisadi tu.

Hukumu ya mwanasiasa yoyote inapatika kwenye kura ya uchaguzi na wala sio mahakamani.
 
Dua,

Mahakama ya mwanasiasa ni wananchi. Tutajua mwaka 2010 kama hiyo style ya Mnyika inafanya kazi au la. Pia tutajua mwaka 2010 kama wananchi wanaamini anachosema RA au wanamwona fisadi tu.

Hukumu ya mwanasiasa yoyote inapatika kwenye kura ya uchaguzi na wala sio mahakamani.

Mkuu RA ni fisadi! Atashida kwa sababu wanaompigia kura {IGUNGA kama sikosei} hawamjui! Kwanza anawafisadi na kuwalewesha! Kwa hiyo atatumia ufisadi kupata ubunge!
 
Dogo Mnyika anatumiwa na akina Slaa na Mbowe kama buffer zone ya kukinga bullets zote zinazoelekezwa kwao. Dogo angalia hao wazee wasikuue kisiasa. Usifikiri wanakupenda wanaogopa nyota yako isizidi yao. Chunga sana. Slaa is sly and shrewd. He has his ambaitions. Huyo anajua hila za kivatican. Tafuta kitabu kilichoandikwa na David Yallop 'In God's Name'. Slaa hawezi kukubali umzidi katika medani za siasa ndani ya CHADEMA. Usiende kichwa kichwa watakuumiza. Hata huyo RA anaweza akaungana na Slaa kukumaliza. Hiyo ndiyo siasa dogo.
 
Dogo Mnyika anatumiwa na akina Slaa na Mbowe kama buffer zone ya kukinga bullets zote zinazoelekezwa kwao. Dogo angalia hao wazee wasikuue kisiasa. Usifikiri wanakupenda wanaogopa nyota yako isizidi yao. Chunga sana. Slaa is sly and shrewd. He has his ambaitions. Huyo anajua hila za kivatican. Tafuta kitabu kilichoandikwa na David Yallop 'In God's Name'. Slaa hawezi kukubali umzidi katika medani za siasa ndani ya CHADEMA. Usiende kichwa kichwa watakuumiza. Hata huyo RA anaweza akaungana na Slaa kukumaliza. Hiyo ndiyo siasa dogo.


Fikiri kabla ya kuandika maneno kama hayo hapo juu hayatakusaidia kukupatia umaarufu wa haraka haraka hapa JF.
 
Siamini na wala sikubaliani na hoja kwamba Mnyika amekurupuka ktk hoja. Ama nampongeza kwa kujibu hoja zote kwa hekima na uwazi ambapo wanasiasa wengi wamekuwa wakiepuka ukweli kwani uongo ni vazi wanalovaa.

Myika hafi kisiasa na huu ndo mwanzo wa hoja kali kupenya ktk mioyo ya Watanzania. Wakisema wanammaliza kisiasa wajue tupo vijana wengi aina yake hivyo kata muwa unachipua muwa
 
[/SIZE][/COLOR][/B]

Naomba ma Mods muiangalie hii lugha

..hivi zile nyimbo za mchakamchaka shuleni those days ambapo tuliimbishwa bila kujua kuwa kambona ameolewa na mwingereza, halafu kauli kali za Baba wa Taifa kuwa kambona ni malaya wa kisiasa ni lugha maridhawa?? Let me say kama mtu anakuchafua gizani na ukagundua hata kwa mwanga wa mbalamwezi kuwa ni fulani yule ananichafua, basi si haba wala hiana kummwagia tope mchana wa saa sita, ila atakuwa mnafiki akilalamika kuwa umemchafua....
 
mnyika sikujua kama unakwenda na wakati kiasi hiki! unatumia technology kutuma ujumbe wako.
 
Suala afikishwe mahakamani au la niuamuzi wa DPP, kutoshitakiwa Dr.Slaa sio sababu ya Mnyika kutopanda kizimbani, sawasawa?

We acha ujinga, huyo rostam anakulipa ngapi kuwa mnafiki hivi? i thought ungekuwa unadai kwa nguvu zote rostam ndo afikishwe mahakani kwa ufisadi anaoifanyia hii nchi ila uko hapa bila aibu kudai mnyika afikishwe mahakamani. Fisadi namba mbili weeeeeeeeeeeee
 
Kitu cha Muhimu ni kwamba ujumbe umefika kwa Mlengwa and umefanya kile ambacho mtumaji alitaraji kingefanyika... Hii kasumba ya kuendelea kuogopa watu sijui itatufikisha wapi Watanzania.

Jambo nifahamulo ni kwamba hao Mafisadi hawako juu ya Sheria, na nadhani mara ya kwanza walipotajwa katika list of shame haikuwagusa zaidi kwa kuwa walitajwa katika Jumuia. Sasa ni kuwafuata huko huko katika simu zao za mikononi na mawasiliano mengine ya binafsi zaidi.

Wachukue hatua kama wanataka kufanya hivo kisha mbrlr ya Mahakama haki itatendeka. Suala la kukaa kutishiana kwamba watamalizana kisiasa ni upumbavu. Hakuna mtu ambaye anaweza aka'dictate' jinsi ya kuendesha Maisha yako ya Siasa JJ.

Kaza Buti.
 
Dogo Mnyika anatumiwa na akina Slaa na Mbowe kama buffer zone ya kukinga bullets zote zinazoelekezwa kwao. Dogo angalia hao wazee wasikuue kisiasa. Usifikiri wanakupenda wanaogopa nyota yako isizidi yao. Chunga sana. Slaa is sly and shrewd. He has his ambaitions. Huyo anajua hila za kivatican. Tafuta kitabu kilichoandikwa na David Yallop 'In God's Name'. Slaa hawezi kukubali umzidi katika medani za siasa ndani ya CHADEMA. Usiende kichwa kichwa watakuumiza. Hata huyo RA anaweza akaungana na Slaa kukumaliza. Hiyo ndiyo siasa dogo.


Na wewe tena! nilifikiri eddy tu,sidhani kama uliyoyandika hapa unaweza ukayarudia kusoma, kuyafanyia analyisis , no way hata ukishindwa kuthibitisha lakini at least basi hata punguani akubaliane nayo.Lazima utakuwa umetoka mirembe bro, kama la inabidi ukamwone daktari haraka mara usomapo ujumbe huu. Tofautisha vijiwe vya mitaani na mahali hapa .

ama kweli ''common sense is not always common''

Waberoya
 
Mheshimiwa Dr. Slaa,

Mimi natofautiana na wewe kabisa juu ya hili. Mwanasiasa makini haendeshi siasa kwa vijembe, anaendesha kwa hoja.

Alichofanya Mnyika ni tofauti sana na kile ambacho nyie mlifanya katika mkutano wenu mlipowataja mafisadi wale 11 (kama sijakosea namba).

Mlijenga hoja juu ya kwanini hao watu 11 ni mafisadi. Mlikuwa mnaelemisha umma juu ya mafisadi wa Tanzania.

Kutuma sms ya kumwita mtu fisadi lengo ni kutukana na wala sio kuelemisha jamii kwa hoja. Mwanasiasa yoyote makini hawezi kufanya kitu kama hicho. Nina uhakika hata Dr. Slaa pamoja na ujasiri wako hata siku moja huwezi kufanya kitu kama hicho.

Mnyika anaweza kufurahisha wapenzi wa CHADEMA lakini nina wasiwasi kama hicho kitendo kitamwongezea kura za watu wenye mawazo huru na wale ambao wako katikati na wanatafuta kwa kuhamia.

Sina tone la penzi kwa RA lakini hata siku moja siwezi kumwandikia yeye binafsi ujumbe au hata barua ya kumtukana. Naweza kuelemisha jamii kwamba RA ni fisadi au naweza kwenda mahakamani kumshitaki kwa ufisadi lakini sio kumwandikia sms yeye binafsi. Hoja za matusi zinaongozana na hoja za manguvu.
Wewe unamaanisha usemacho kweli?
Kwani hilo ni tusi au ndivyo alivyo?
Wadanganyika bwana! mtu akikuambia ukweli kweupe jinsi ulivyo eti tusi. Nashangaa sana.
 
Maono:

SWALI: Nani kumfuata Mh. Wangwe?
JIBU: Balille
WHY: Mnyika (CHADEMA) Vs Balille
HOW: litakuzwa sana (by vyombo vya habari) kuwa kuna ugomvi btn those two, then ... (this time sio ajali ya gari!)
 
Ujumbe huo wa sms kati ya Mnyika na Rostam ulikuwa ni binafsi. Iwapo mmoja wao ana namba ya mobile ya mwingine yawezekana kuwa wakawa/walikuwa na uhusiano. Si kawaida kutangaza hadharani simu yako binafsi au kuwapa watu usiohusiana nao. Katika kesi ya ufisadi RA alidai kuwa hana uhusiano na Richmond licha ya kuwaruhusu kutumia email address yake!!! Anachofanya Rostam ni kuingiza siasa katika sula la uhusiano binafsi. Amefanikiwa kwa kiasi kumchafua Mtikila, lakini akumbuke hili " huwezi kudanganya watu wakati wote kila wakati". Is he asking for sympathy by publicising his private communication?
Neno fisadi kwa msamiati wa kisiasa halina uhusiano wowote na tafsiri ya BAKITA inayohusisha na ngono. Je tafsiri ya neno 'kukazana' ni sawa na tafsiri aliyoitoa mheshimiwa spika Sita bungeni, na kuzuia kutumika kwa neno hilo? Yaelekea tunapenda kuweka maswala ya ngono pasipostahili ili kukidhi tafsiri zetu binafsi.
 
Wadau, mimi naomba kuwauliza. Hivi Huyu Deo Balile si ndiye alikuwa Mwandishi wa Tz Daima na kuna kipindi alikuwa anapiga shule Hull Univ. UK?

Nini kilitokea hadi kuja kuibukia New Habari Cooperation? Nakumbuka huyu Balile na Jamaa yake Mhingo Rweyemamu si ndiyo waliompikia zengwe Atilio Tagalile kuwa hasaidii kumsafisha RA katika kashfa ya Rich wa Monduli hadi akaachia ngazi kutoka New Habari? Au?
 
Na nimemwambia wazi wazi , sikutaka kuzunguka, nimemwandikia kwenye SMS kuwa yeye ni fisadi. Na sijajificha kwa kweli. Nimewandikia kwa namba yangu na nimeandika jina langu ili abaki na ushahidi akipenda aende mahakamani.
Mbona vitu kama hivi havipewi kipaumbele kwenye magazeti yetu??
Hapo kijana nakusifu kwa ujasiri wako lakini kuwa makini kama umewahi chukua ramba ramba kwake utaumbuka kama mchungaji oooh kuwa makini.
 
mi nahisi picha ilikuwa hivi, huyu rostam ni dhahiri amekuwa anamtongoza (kisiasa)dogo mnyika kwa muda mrefu, sasa mnyika naona amechoshwa na ameamua kumpa straight kuwa yeye ni fisadi, ngoja tusubirie response ya rostam ktk hili, HONGERA SHUJAA ANAYECHIPUKIA, JOHN MNYIKA! Ur my hero for this one.
 
tangu jana nimeomba namba ya isad rostam fala aziz hamtaki kunipa, laiti nikiipata nitamogia waziwazi na kutoka hapo mtafahamu jina langu halisi. nimechukizwa sana na huyu mpuuzii kutaka kuzusha vita ya kikabla katika nchi yetu, kama kikwete amemshindwa kwa kuwa alimpa mapene ya kampeni, sisi tuliolishwa yamini na mwalimu nyerere juu ya kuippenda na kuifia nchi yetu ndo kwanza tunaye mwaka huu
 
watu wengine tulikula yamini ya kuipenda nchi yetu, wakati tunakula yamini pale jkt makutupora, rostam alikuwa anakula ubwabwa na tende kule chimala, leo anataka kuja kuchochea maasi katika taifa letu teule. tutapambana naye hadi mwisho, asiyetaka kuona tukimkomalia anaweza kufunga macho na kuziba macho kwa pamba
 
Back
Top Bottom