Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
hasira hasara ....hasa kwenye siasa. mnyika inabidi uwe na subra kama unataka kuwa mkombozi wa kweli
Subra gani, FISADI ni FISADI tu hakuna cha SUBRA wala CHUBRA. FIsadi apewe ukweli wake, serikali imeshindwa kuwataja na kuwachukulia hatua. Kilichobaki ni wananchi akiwemo Mnyika kuanza kuwahesabu kisha kuwapa wanachostahili. Nyie subirini tu......pale hiyo SUBRA itakapoyeyuka kwa wananchi ndo mtajua kuwa hata mrenda unaweza ukawa JAM kwa mkate.