Sasa huyu ni popo au pweza anayeruka.!
Tokaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]Usione aibu sema kama unampenda...[emoji28]
Huyu mbona familia kabisa bwashee..... haka nakashika kabisa yan nacheza nako.... pia vile vinungunungu....navishika nacheza navyo...wanyama wote familia kasoro nyoka
Unanikumbusha supu ya kongoro ya nguruwe ilivyo tamu
πTokaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaha sasa kwa nyoka , mimi familia , ila kinyonga hasa wale wa mgombani hapana bwashee πHuyu mbona familia kabisa bwashee..... haka nakashika kabisa yan nacheza nako.... pia vile vinungunungu....navishika nacheza navyo...wanyama wote familia kasoro nyoka
Hahaha ni lazima shindiiKwani lazima uweke lipicha!!!
Kwa nadra sna , ila vinakera vikikupandia kwenye mwiliAnang'ata?