kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,271
- 1,810
- Thread starter
- #21
Post zako nyingi huwa naziona nizakushambuliana tu japo baadhi kweli huwa nizakidini (japo si zote) nimeanza kukupa kihistoria kiduchu maeneo ambayo ndiko uislamu umeota mizizi kwa jinsi nilivyoishi na kupaga kwenye nyumba za waislamu pasipo kubaguliwa isipokuwa kupatiwa msaada na upendo wa hali ya juu. Mwanajeshi yule ukitaka kukubaliana na mimi hakustahili kuuliwa vile ni kwamba (kacheki youtube);ndege ilitunguliwa na wanamgambo wa ISIL akajiokoa kwa mwamvuli hadi kwenye bwawa kubwa sana lkn akiwa majeruhi,ISIL wakamtoa na kumpeleka kwenye kambi yao hadi jana wakaonyesha wamemuua kwa kumchoma kwa moto!! Hebu vuta akili ya ubinadamu ama sheria za mateka vitani, hebu fikiria jinsi mwenyezi mungu alivyomnusuru kufa juu ya anga na ndege yake ya kivita!! hebu angalia watu wenye haiba na imani moja wanakuua huku ukiwa huna siraha wala madhara yeyote kwao.Nilitangulia kwa kuwaomba msamaha kabla ya posti yangu lakini naona hata msamaha wangu hausaidii kitu kwako kama hulka ya ISIL.