Mnipe mishe za kuingiza kipato Morogoro

Maisha sio rahisi, na pia Hawa vijana msiwabeze, kwa kusema mnawasaidia afu wanakuwa sio wavumilivu, ukweli ni kwamba vipawa vinatofautiana, pia malezi na mazingira, kama unaweza kumuajiri mwajiri, kama uwezi usimbeze
 
Maisha sio rahisi, na pia Hawa vijana msiwabeze, kwa kusema mnawasaidia afu wanakuwa sio wavumilivu, ukweli ni kwamba vipawa vinatofautiana, pia malezi na mazingira, kama unaweza kumuajiri mwajiri, kama uwezi usimbeze
Hakuna anayebeza ..shida iko hapa .watz hatupendwi kuambiwa ukwel...tunataman kusikia mambo mazuri tunayotaka sisi tu ..hatutak kusikia other side. Na anayekuambia live huyo ndo mzuri anakukomaza. Anakupa hasira kumprove wrong...! Huwezi fanya biashara ijumaa jumatano umequit...nasema haipo hiyo ...kama ingekua kubezwa Basi watu tulibezwa. Na hatujafika tunapotaka...!
tumetofautuana bas. Mie mtu akinibeza akininyaki akinivuruga akili inakuwa Safi vby muda wote kuliko kila Mara unataka upongezwe..anywys sijui...
 
Mie sitasahau niliwahi kosa hela ya kununulia chumvi mwaka 2010!hapo umemaliza shule kukwepa kukaa home unaamua kuolewa()
Misiba na sherehe zikitokea hi automatic huna la kuchangia. Unasingizua mshahara wa mume haujatoka..kumbe hakuna wa kukupa hiyo hela!
Sitaki maisha hayo Teena .. tufate tu kanuni iko siku
Very true, na hela yako ya kutafuta ni tamu balaa
 
Nipe tu Faza nita kuRepay back baadae maana hapa nina trip za safari kadhaa zinazohitaji nauri.

Story ilikiwa hivi mjini Dar nimetoka na pesa nusu nyengine nitumiwe na Bimkuu alikuwa na pesa yangu nimefika ananiambia mambo yamemtaiti, pesa nyingine niliuza PC ya jamaa uzi wangu wa mwisho (niliidalalia) jamaa nimemDirect mteja kauza kaniBlock (katapeli).
mkuu vipi wanasemaje huko ABSA?
 
Umefika hatimaye! Maana huyu ndo mtani wako og ..umeadimika ..!niombee
Hahah ntakuweka kwny maombi.

Nilivyoona amekuja na hii 'nanhii' mpya nikajua atakua amebadilika ki-mtizamo/harakati ila naona bado mtizamo ni ule ule kama alipokua anatumia ile 'nanhii' ya zamani.

Akaze tu,hakuna kitu rahisi.
 
Umefika hatimaye! Maana huyu ndo mtani wako og ..umeadimika ..!niombee
Utani mzuri tu ila tatizo unaangalia sehemu unapo pitch minakuandikia passage sensitive unaleta utopolo mbona tumetaniana sana uzi wa mtu kukudharau ila pale juu nimeandika serious scenario analeta ukolo.
 
We
Dah...ngoja nisiandike Sana ...Ila dogo habebeki..kinda tired!..mpe mchongo masasi aende mkuu. Mie niliwah mchorea mchori wooote. Akasema sasa Kule Nan atakua mwenyej wangu? Akasema ngoja nijifikirie .later akaja na proposal nyingine nikasupport nilipoweza .haizid mwezi anakuja Tena na proposal nyingine🤧..anakata tamaa Sana hakuna njia rahisu

Hadi mwenyeji alitaka umtafutie? Kweli dunia hadaaa
 
Back
Top Bottom