Mnipe mishe za kuingiza kipato Morogoro

Mnipe mishe za kuingiza kipato Morogoro

Binafsi Aya mambo ya kuwapa michongo Hawa vijana wa daslam nlishaachaga.

Kuna kijana mmoja alkua kamaliza digrii hapo mlimani.
Jobless miaka 4, Kanililia wee nimpe mchongo.

Ikabd nimuunganishe kwa jamaa angu mmoja Yuko moro- ifakara

Jamaa akakubali kifungua branch ya biashara Yake eneo moja linaitwa Mbingu ili kijana asimamie ile biashara kwa miaka 5.

Biashara ikishakua, yy anafungua tawi jingine sehem nyingn ile inabak kua Mali yake.

Jamaa kajitolea kumkodia frem, fenicha zote na mzgo wa kuanzia akagharamia .

Huwez amini,
Kijana alidumu pale Miezi 4 TU.

Sababu anazotoa eti eneo lile wateja hamna.

Eti anamtaka boss ule mtaji akamfungulie dar.

afu eneo lile mtandao halishiki 4G anashindwa kuwasilian na ndugu na marafk zake walioko insta na wasap.

Jamaa angu kapata hasara,
ikabid arudishe frem, na zile fenicha auze kufidia hasara.

Chumba alichompangishia kimefungwa TU hadi leo.

Kijana karud daslam

Nkifikiria,
Inatia hasira Sana Kiukweli

Sio wote tuko hvo bro!! kila cku mnatuponda watu wa Dar.......by the way, naomba npe mishe ya kuingiza hela mkuu!!!
 
sa
Hahhaa Sivan hujapigwa personal attack...nasema hizi sio mbona ..siku nitakuja kukuambia yangu utabaki unashangaa ..unaweza hisi unaish na wanga original..lakini kiuhalisia wanakushape mbaya Sana. Bora upigwe hizi na watu Baki Kama sisi .lakini sio ndugu au wazaz au mke au mume. ..sijui unaelewa..unapigwa za uso na mzaz wako😀😀..unafanyiwa figisu na sisy ako .anakuja kumaliza mwenzako iwe mke au mume. Hebu SEMA wapi inaumiza zaidi!
Mtu unaumizwa had unahis una mikosi...lakini tulia soma ramani yako vzr Anza kuunga dots ..mie Leo hii nampelekea dingi asome documents ananiambia Safi...kazana pambana..lakini ni huyo huyo alikua ananiambia huez biashara wewe...uko weak Sana hujachangamka ..umeolewa n blah blah kibao ..hata wewe haya yakufanye upate nguvu . Binafsi mie mtu akinivunja moyo napenda zaidi nimprove wrong hata usingiz unakata ..narudia Tena na Tena kusoma diary yangu na kuongeza hints nzuri nzuri na asbh ukiamka unazifanyia kazi..mie toka corona sijafanya kazi coz of corona n family staffs...lakini NAISHI nnavyotaka ..simtegemei mtu ingawa nachitaka bado sijakipata per se...! Lakini Nilichora ramani na ninatembelea kwenye lane...


Hongera sana!
 
Sivan nikuambie tu kitu kimoja. Hutaona mafanikio Kama utakuwa mtu wa kugusa na kuacha...nadhan unajua( namaanisha )Nini...!
Humu jf katika watu niliowapambania we ni no 1! Lakini husomeki..unakatisha tamaa. Thou sikusimangi)...Ila Bora nikuambie ukweli ..utakusaidia mbeleni ukiamua kuufata

Moro ndugu yangu pagumu...hapana mzunguko wa pesa. ..papo papo tu..Ila ukipata kaupenyo hela ipo ..nadhan pagumu Kwasababu wknd weng wanaenda Dar. ..
Wee sijui unafeli wapi na huku huna majukumu...!wenzako familia zinatufanya turudi nyuma kila mara

Basi nenda huko Mafinga wanakopasua mbao..kajifunze biashara ya mbao..au toa vimbao vyako 100porini kauze hapo mjini kila ubao hukosi 500/- unakwama wapi dogo?...Kule kazi ni nzito..au ..Chukua zaga zaga Kama saa za Bei fulan za Kati perfume za kupima .headphone za Bei rahis .shades nzuri za wakaka na wadada. .boxer nzuri Raba tamu
Acha kung,'ang'ania kuishi mjini...nenda kajitupe huko usome mchezo na usichague kazi. Wenzako mjini tunarudi kupooza akili ! Be you !
Nenda Hadi viwanda vya chai nenda na vitu vzri zuri. Kuna dogo nilinunua kwake saa nikamwambia usiishie mjini nenda huko..mbona ananishukuru daily!( Najua utaniambia sisy nitaendaje huko Mimi Sina mwenyej) ndo shida yako hii had nakosaga la kukujibu ..toka mjini dogo!
Kama utaenda Mafinga nitakusaidia ulale bure for 7dys! I wish utoke kwenye kifungo hicho Cha kukomalia kukaa mjini....
Kubali kupigwa jua..kubali maisha ya dhiki....kubali Hali yoyote..!
Natamani kukufinya sikio uamke!..
Madam i like you,za cku??
 
Kumbe we ushamsoma

M nshamsoma kitambo sana but anaishiaga kusema m namnanga

Sivan sikiliza ushauri wa dada mkubwa hapa

Sehemu moja wapo ambayo nilitembelea nikaona kuna fursa za nje nje ni mji wa masasi
Kuna fursa gani masasi..

#MaendeleoHayanaChama
 
Awww...!tubarikiwe wote Happy!
Ila had naandika hapa nimemsaidia dogo mmoja kias kwamba najiuliza hivi ni Mimi?..kifupi dogo nilimuokota tu majalalani( maana had mwenzangu akanianbia we hutaendelea unaamini mno watu)! Nikamchorea ramani(hapo hata jina lake silijui na hanijui(amepostpone mwaka udom)akanipitishia sabuni za magadi nikamuuliza anaipataje faida ananiambia hela ndogo balaa nikamwambia acha hiyo fanya ishu hii na hii...kumbe dogo kanielewa kuliko Mimi nilivyompa ramani..yaan mie nilimpa idea yangu juu juu nikijua mpitaji...maskini Yule mtoto kwa siku anaingiza faida ya 20000/-..Jana ananipgia ananiambia sisy nimekuza mtaji nna laki 9!(alianza kwenye corona crisis)..ninaona aibu.. nnaona Raha pia. Alinunua bike ndani ya mwezi mmoja tu!.
Huyu acha nijivunie aisee!
Again thanks
Anafanya biashara gani huyo dogo mpaka imemlipa?
 
Mkuu sorry masasi kuna fursa zipi na sisi tukapambanie?
Kumbe we ushamsoma

M nshamsoma kitambo sana but anaishiaga kusema m namnanga

Sivan sikiliza ushauri wa dada mkubwa hapa

Sehemu moja wapo ambayo nilitembelea nikaona kuna fursa za nje nje ni mji wa masasi
 
Back
Top Bottom